Uchaguzi 2020 Ushauri wa bure kwa John Mnyika kuhusu mzabuni wa NEC

Mkuu, umeanzisha Uzi kumshauri nani? Chama kinajua kila kitu, hujui ktk chama hicho kuna nguli was sheria na diplomasia? Basi vumilia kidogo majibu yao, usipokuwa makini utahama jf!
Hakuna nguli yoyote wa sheria CHADEMA ila wanasheria werevu wa tafsiri potofu za sheria na kufanya hila. Pia kama Lissu ni mbishi wa kuzaliwa na mkorofi na mtu wa maslahi binafsi. Nakataa CHADEMA hakuna hata mwanasheria mmoja mpigania haki ila kuna wababaishaji wa sheria.
 
Mkuu mi nachokushauri huo ushauri wako wa bure kesho asubuhi ukiamka uwape kuku wako huo ushauri maana ndo unawafaa.
 
Waambie TUME ya uchaguzi waache kuishi kizee karne hii, wana tovuti, basi taarifa wawe wanawek taarifa. Manunuzi ya umma kwa fedha ya wananchi, waambie Tume waweke taarifa hizo na sio kutaka mtu mmoja mmoja kuzifuata ofisini kama unavyotaka kushauri.
 
Mkuu Sera za chadema zinajitoshereza kabisa na zinaeleweka mno ndiyo maana watanzania wamezipokea kwa mikono miwili
 
Yaani tofauti na Mnyika kuhoji ulitaka ahoji Nani?!
Yaani tukubali NEC watuharibie uchaguzi kwa ujinga Kama wako huu halafu Tukae kimya
 
kabla hajaifanyia uchunguzi NEC kupitia "vyanzo vyao" , yeye kama Kiongozi na mtendaji Mkuu wa Chama alitakiwa kufika NEC na apate Taarifa kuhusu manunuzi ya Vifaa mbali mbali yalivyofanyw
...yaani ukamuulize mwizi juu ya mikakati yake ya wizi afu utarajie kuambiwa kweli?!
 
Tume kukataa kutoa orodha ya wapiga kura ni wazi kwamba karatasi za jamana zitatumika kuwabeba ccm.
 
Peleka takarata na upuuzi wako unaoneka una kitu
 

Kuna shida gani Mnyika au cdm kuonyesha shaka ya huu mwenendo wa kupatikana mzabuni? Je kuna kosa lolote Mnyika kutujulisha sisi wananchi utata wa mzabuni? Kwanini kuna usiri usio wa lazima? Sio kila mtu ana imani na hiyo tume, hivyo ni vyema kila kitu kuwa wazi ili kuondoa mashaka.
 
Hakuna chama cha hovyo kabisa kama CHADEMA. Wameona maji yamewakaba kooni sasa wanaleta visingizio. Tulieni dawa ikolee, mnarukaruka nini..

Wakati wa sakata la Escrow pia tulikuwa tunaambiwa cdm ni chama cha hovyo maana hizo pesa sio za umma. Ukweli sasa hivi wa pesa za Escrow uko wazi. Ushindi wa kihuni hauna nafasi.
 

Uza ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara. Cdm wanasema wamepeleka malalamiko yao dhidi ya mgombea wa ccm, lakini tume wanagoma kuyapokea. Sasa kama wanagoma kupokea hata barua ya malalamiko, unategemea wawape majibu ya mzabuni huku wakijua utata wa mzabuni?
 

Pale ambapo hujulikani kokote, hata mtaani kwenu Halafu unashauri mtu au watu waliobobea na maarufu katika shughuli zao!
 
Mkuu, umeanzisha Uzi kumshauri nani? Chama kinajua kila kitu, hujui ktk chama hicho kuna nguli was sheria na diplomasia? Basi vumilia kidogo majibu yao, usipokuwa makini utahama jf!
Acha vitisho. ..ahame aende wap tena kwa sabab ipi
 
Spinning ya kitoto sana. Crap.
 

Kichwa cha Habari kinachekesha kweli, “ushauri wa bure” hivi Huu unaweza Kuwa ushauri wa kulipia wa hovyo namna hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…