Molleli
Senior Member
- Aug 29, 2020
- 185
- 165
Kwa taarifa yako hata udiwani hutopata we jifanye msukule tu!!Hakuna chama cha hovyo kabisa kama CHADEMA. Wameona maji yamewakaba kooni sasa wanaleta visingizio. Tulieni dawa ikolee, mnarukaruka nini..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa taarifa yako hata udiwani hutopata we jifanye msukule tu!!Hakuna chama cha hovyo kabisa kama CHADEMA. Wameona maji yamewakaba kooni sasa wanaleta visingizio. Tulieni dawa ikolee, mnarukaruka nini..
Waliamua kuikaushia maana wangekosa la kujibu😆😆Barua ya kumuita rais mtarajiwa kwenda kamati fake ya maadili ilipelekwa wapi?
Daadaadeki....vijana tujiajiri!
Uchaguzi 2020 - NEC yafafanua Upotoshaji kuhusu Karatasi za kupiga kura Uchaguzi Mkuu 2020Nimefuatilia Press ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Bw. John John Mnyika, akiitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusisha vyama vya siasa juu ya manunuzi ya vifaa vyote vya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.
Mnyika anakiri kwamba Tume imeitisha zabuni ya manunuzi ya vifaa vya Uchaguzi zikiwemo Karatasi za kupiga Kura. Kwa Taarifa hiyo inathibitisha NEC imefuata taratibu za manunuzi ya Umma kisheria, Na kwa maana nyingine Mzabuni aliye shinda tenda ndiye aliyepewa kazi. Lakini Mnyika ameonesha wasiwasi juu ya Mzabuni wa Manunuzi ya karatasi tu za kupigia Kura (ballot papers) kuwa "kwa vyanzo vyao CHADEMA" Kampuni inayochapisha Karatasi iko Dar es salaam.
Kwa maoni yangu naona Bw. Mnyika anasahau kwamba kabla hajaifanyia uchunguzi NEC kupitia "vyanzo vyao" , yeye kama Kiongozi na mtendaji Mkuu wa Chama alitakiwa kufika NEC na apate Taarifa kuhusu manunuzi ya Vifaa mbali mbali yalivyofanywa kama kuna haja hiyo na (kwa basis ile ile) kwamba ni Manunuzi ya UMMA na kwa namna yoyote Taarifa zake zipo NEC sio kwenye "Vyanzo vyao"
Ikiwa Kampuni imeshinda zabuni na kupewa tenda ubaya uko wapi kiasi cha kutiliwa shaka na Mtu Mkubwa kama yeye?, Karatasi za kura zina maajabu gani yanayoweza kutiliwa shaka?, Ni nini umaalum wa kuona Afrika kusini wanaweza kuwa na sifa za ziada kuliko Jamana (Kama kweli Jamana ndio wametengeneza hizo ballot papers?)
Kama Chadema ambayo ni Taasisi, haijawahi kuingiliwa katika maamuzi ya manunuzi ya Vifaa vyake vya kazi na Taasisi nyingine yoyote, Je, Ni sawa kuishurutisha NEC kufuata matakwa ya CHADEMA?
Bw. Mnyika haoni kwamba kufanya hivyo ni kuingilia Uhuru wa Tume kama ambavyo anaaminisha Umma kwamba Tume hii haipo huru?, Unasisitizaje mabadiliko kama wewe hutaki kuwa Mfano?
USHAURI
Katika kutafuta Mafanikio kisiasa na hata kushika Dola ni vyema CHADEMA kikajikita zaidi kuonesha ubora wa sera zake kwa wananchi hasa katika siku hizi zilizobaki kuliko kila wakati kutafuta Migogoro na Migongano isiyo ya lazima na kuweka kila "kinachohisiwa hakipo sawa" mitandaoni au kwenye vyombo vya habari bila ya kufuata utaratibu wa kisheria ili kujiridhisha na jambo fulani na ikibidi kama haliko sawa kulizuia.
Mbona suala hili liliandikwa siku nyingi?! Mimi binafsi nilisoma kwenye gazeti siku nyingi mno....ila kwa Mnyika na Chadema ipo shida...bado wiki mbili kupiga kura halafu eti Katibu Mkuu wa Chama tena basi kinachodaiwa ni kikubwa Cha upinzani anakurupuka na kuanza kuhoji karatasi za kura huoni kuwa Kuna tatizo hapo?! Kuna viongozi kweli hapo?! Wiki mbili kabla ya kura unaanza kuhoji suala la karatasi za kura na mzabuni?! Duh...Kuna umakini kweli hapo?!Kuna shida gani Mnyika au cdm kuonyesha shaka ya huu mwenendo wa kupatikana mzabuni? Je kuna kosa lolote Mnyika kutujulisha sisi wananchi utata wa mzabuni? Kwanini kuna usiri usio wa lazima? Sio kila mtu ana imani na hiyo tume, hivyo ni vyema kila kitu kuwa wazi ili kuondoa mashaka.
Mbona suala hili liliandikwa siku nyingi?! Mimi binafsi nilisoma kwenye gazeti siku nyingi mno....ila kwa Mnyika na Chadema ipo shida. Bado wiki mbili kupiga kura halafu eti Katibu Mkuu wa Chama tena basi kinachodaiwa ni kikubwa Cha upinzani anakurupuka na kuanza kuhoji karatasi za kura huoni kuwa Kuna tatizo hapo?!Kuna shida gani Mnyika au cdm kuonyesha shaka ya huu mwenendo wa kupatikana mzabuni? Je kuna kosa lolote Mnyika kutujulisha sisi wananchi utata wa mzabuni? Kwanini kuna usiri usio wa lazima? Sio kila mtu ana imani na hiyo tume, hivyo ni vyema kila kitu kuwa wazi ili kuondoa mashaka.
Hawasomi!Mbona suala hili liliandikwa siku nyingi?! Mimi binafsi nilisoma kwenye gazeti siku nyingi mno....ila kwa Mnyika na Chadema ipo shida...bado wiki mbili kupiga kura halafu eti Katibu Mkuu wa Chama tena basi kinachodaiwa ni kikubwa Cha upinzani anakurupuka na kuanza kuhoji karatasi za kura huoni kuwa Kuna tatizo hapo?! Kuna viongozi kweli hapo?! Wiki mbili kabla ya kura unaanza kuhoji suala la karatasi za kura na mzabuni?! Duh...Kuna umakini kweli hapo?!
Mbona suala hili liliandikwa siku nyingi?! Mimi binafsi nilisoma kwenye gazeti siku nyingi mno....ila kwa Mnyika na Chadema ipo shida...bado wiki mbili kupiga kura halafu eti Katibu Mkuu wa Chama tena basi kinachodaiwa ni kikubwa Cha upinzani anakurupuka na kuanza kuhoji karatasi za kura huoni kuwa Kuna tatizo hapo?! Kuna viongozi kweli hapo?! Wiki mbili kabla ya kura unaanza kuhoji suala la karatasi za kura na mzabuni?! Duh...Kuna umakini kweli hapo?! Yaani mtu wa kijiweni Cha kahawa ndiye alipaswa kuhoji wakati huu....ni aibu kwa kweli...ni wazi kuwa chadema imeingiliwa...Kuna watu wanawapenyezea habari za uzushi na uongo ili kuwachafua na wao wananaswa kwenye mtego kiulaini..
Habari iliandikwa kwenye East AfricanUko sahihi japo ww sio umesoma bali nyie ndio wahusika wenyewe. Mimi nilisikia habari hizo ila kwa sauti ya chini sana, sio kama matangazo ya kudai kodi au yale ya kuwakomoa wapinzani. Maana yanapokuwa matangazo ya kuwakomoa wapinzani matangazo yake huwa ya juu sana kuliko hayo.
Mapepooo,,,, POWER msomi anayejiona na kutamba ati yeye ni msomi wakati hata law firm hana wako watu wamesoma sheria hadi PhD lkn hawatambi kuliko yeye mwenye kadigree mfyuuuMkuu, umeanzisha Uzi kumshauri nani? Chama kinajua kila kitu, hujui ktk chama hicho kuna nguli was sheria na diplomasia? Basi vumilia kidogo majibu yao, usipokuwa makini utahama jf!
Mimi naona kwa uchaguzi wapinzani wasijilauu kwani magufuli amechaguliwa na wananchi ikiwa wameona kazi yake ikiwa ni pamoja na kuzifanyia kazi hoja za wapinzani ili kuleta maendeleo kwa watanzania so we need to support him moral and material for positive result , maendeleo hayna chama.Nimefuatilia Press ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Bw. John John Mnyika, akiitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusisha vyama vya siasa juu ya manunuzi ya vifaa vyote vya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.
Mnyika anakiri kwamba Tume imeitisha zabuni ya manunuzi ya vifaa vya Uchaguzi zikiwemo Karatasi za kupiga Kura. Kwa Taarifa hiyo inathibitisha NEC imefuata taratibu za manunuzi ya Umma kisheria, Na kwa maana nyingine Mzabuni aliye shinda tenda ndiye aliyepewa kazi. Lakini Mnyika ameonesha wasiwasi juu ya Mzabuni wa Manunuzi ya karatasi tu za kupigia Kura (ballot papers) kuwa "kwa vyanzo vyao CHADEMA" Kampuni inayochapisha Karatasi iko Dar es salaam.
Kwa maoni yangu naona Bw. Mnyika anasahau kwamba kabla hajaifanyia uchunguzi NEC kupitia "vyanzo vyao" , yeye kama Kiongozi na mtendaji Mkuu wa Chama alitakiwa kufika NEC na apate Taarifa kuhusu manunuzi ya Vifaa mbali mbali yalivyofanywa kama kuna haja hiyo na (kwa basis ile ile) kwamba ni Manunuzi ya UMMA na kwa namna yoyote Taarifa zake zipo NEC sio kwenye "Vyanzo vyao"
Ikiwa Kampuni imeshinda zabuni na kupewa tenda ubaya uko wapi kiasi cha kutiliwa shaka na Mtu Mkubwa kama yeye?, Karatasi za kura zina maajabu gani yanayoweza kutiliwa shaka?, Ni nini umaalum wa kuona Afrika kusini wanaweza kuwa na sifa za ziada kuliko Jamana (Kama kweli Jamana ndio wametengeneza hizo ballot papers?)
Kama Chadema ambayo ni Taasisi, haijawahi kuingiliwa katika maamuzi ya manunuzi ya Vifaa vyake vya kazi na Taasisi nyingine yoyote, Je, Ni sawa kuishurutisha NEC kufuata matakwa ya CHADEMA?
Bw. Mnyika haoni kwamba kufanya hivyo ni kuingilia Uhuru wa Tume kama ambavyo anaaminisha Umma kwamba Tume hii haipo huru?, Unasisitizaje mabadiliko kama wewe hutaki kuwa Mfano?
USHAURI
Katika kutafuta Mafanikio kisiasa na hata kushika Dola ni vyema CHADEMA kikajikita zaidi kuonesha ubora wa sera zake kwa wananchi hasa katika siku hizi zilizobaki kuliko kila wakati kutafuta Migogoro na Migongano isiyo ya lazima na kuweka kila "kinachohisiwa hakipo sawa" mitandaoni au kwenye vyombo vya habari bila ya kufuata utaratibu wa kisheria ili kujiridhisha na jambo fulani na ikibidi kama haliko sawa kulizuia.
Mbona suala hili liliandikwa siku nyingi?! Mimi binafsi nilisoma kwenye gazeti siku nyingi mno....ila kwa Mnyika na Chadema ipo shida. Bado wiki mbili kupiga kura halafu eti Katibu Mkuu wa Chama tena basi kinachodaiwa ni kikubwa Cha upinzani anakurupuka na kuanza kuhoji karatasi za kura huoni kuwa Kuna tatizo hapo?!
Kuna viongozi kweli hapo?! Wiki mbili kabla ya kura unaanza kuhoji suala la karatasi za kura na mzabuni?! Duh...Kuna umakini kweli hapo?! Yaani mtu wa kijiweni Cha kahawa ndiye alipaswa kuhoji wakati huu....ni aibu kwa kweli...ni wazi kuwa chadema imeingiliwa.
Kuna watu wanawapenyezea habari za uzushi na uongo ili kuwachafua na wao wananaswa kwenye mtego kiulaini..
Nimefuatilia Press ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Bw. John John Mnyika, akiitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusisha vyama vya siasa juu ya manunuzi ya vifaa vyote vya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.