Chama cha Mbowe, ndembendembe wameanza kuhaha sasa. CHADEMA wana vyanzo gani vya Habari zaidi ya gazeti la mwenyekiti wao na habari za kuokoteza mitandaoni kwa kina kigogo?.
Tume ya uchaguzi ipo kisheria na inafanya kazi zake kwa weledi mkubwa, haiwezi kufuata matakwa ya hisia zenu kuwahadaa na kutaka kuwaaminisha wananchi kuwa inafanya kazi hovyo kama zenu. Watanzania wanajua, chama cha Mbowe ndio kimefikia mwisho wake hiyo Oct 28. Tanzania mpya inakuja, Tanzania ya uchumi wa juu. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CCM.