Uchaguzi 2020 Ushauri wa bure kwa John Mnyika kuhusu mzabuni wa NEC

..hao wachapishaji wasije kuwa ni mayanga construction wengine.

..mwenyekiti wa tume, katibu wa tume, wasimamizi wa uchaguzi, wote wameteuliwa na Jiwe.

..Na kampuni ya kuchapisha karatasi za kura nayo ina mahusiano na Jiwe.

..Only in Tanzania.

Inakuwaje watu wazima mnajenga nyumba kwenye msingi mbovu halafu nyumba inakaribia kuisha mnaanza kuulizana maswali? Pande zote mbili mnajua kuwa tume sio huru, Tume imetokana na katiba mbovu iliyopitwa na wakati sasa inakuwaje tunakimbilia uchaguzi usio huru?

Kenya nao waalikuwa wabishi kubadili katiba yao lakini walipouana akili iliwarudi na kukubali kufanya mabadiliko ambayo leo hii yamepunguza malalamiko je na sisi mpaka itpkee fujo watu wafe ndio tutaelewa umuhimu wa katiba mpya na Tume huru?
 
Hakuna chama cha hovyo kabisa kama CHADEMA. Wameona maji yamewakaba kooni sasa wanaleta visingizio. Tulieni dawa ikolee, mnarukaruka nini..
Umebadilisha Nini,au ndio kutafuta faraja isiyokuwepo.Umepanic!!
 
Nguli wa sheria anasema uongo na kufungiwa kampeni?
Huyo ni boya tu,

Hebu leteni mafuriko ya leo tuone ukame wa watu waliokuwa na hamu na mgombea
Nimeingia youtube mida yote sioni kitu nini shida?

Au warusha pivha nao bado wako jela ya NEC?

Tunataka picha hatutaki uinga ujinga, mbona za kanza ya ziwa mlikuwa mnawahisha?

Za huko nyumbani kwake, kwa nini mnachelewa kutoa?
Hapana bro huyo ni nguli wa kuropoka na kusema uongo .
 
Mkuu umeandika nini ,sijui, chombo Kama nec kinataratibu zake za kuhusisha wadau ikiwemo vyama vyama siasa , Sasa we ulitaka mnyika ajipeleke nec kuhuliza wakati ni wajibu wa nec kuweka Mambo haya wazi na hakuna sababu ya kuficha.
Ushauri kwa nec mmepewa mabilion ya watanzania toka ndani ili mchakato wa uchaguzi uwe Bora zaidi,na katibu mkuu mh mnyika Jana katoa maelezo mazuri Sana Jana
Hatutaki vurugu hapa tz kwanza,Kama kweli mnachapisha karatasi za Kura JAMANA TZ mpango huu sitisha Mara moja ,uchaguzi ni garama so chapisha nje ya tz, full stop,
ZIMEBAKI SIKU NNE KUMALIZA MFUNGO JUU YA TAIFA LANGU
Mkuu 4 7mbatizaji kongole kwa kufunga kwa ajili ya Tanzania.
Mungu akubariki sana.
 
Nimefuatilia Press ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Bw. John John Mnyika, akiitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusisha vyama vya siasa juu ya manunuzi ya vifaa vyote vya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.

Mnyika anakiri kwamba Tume imeitisha zabuni ya manunuzi ya vifaa vya Uchaguzi zikiwemo Karatasi za kupiga Kura. Kwa Taarifa hiyo inathibitisha NEC imefuata taratibu za manunuzi ya Umma kisheria, Na kwa maana nyingine Mzabuni aliye shinda tenda ndiye aliyepewa kazi. Lakini Mnyika ameonesha wasiwasi juu ya Mzabuni wa Manunuzi ya karatasi tu za kupigia Kura (ballot papers) kuwa "kwa vyanzo vyao CHADEMA" Kampuni inayochapisha Karatasi iko Dar es salaam.

Kwa maoni yangu naona Bw. Mnyika anasahau kwamba kabla hajaifanyia uchunguzi NEC kupitia "vyanzo vyao" , yeye kama Kiongozi na mtendaji Mkuu wa Chama alitakiwa kufika NEC na apate Taarifa kuhusu manunuzi ya Vifaa mbali mbali yalivyofanywa kama kuna haja hiyo na (kwa basis ile ile) kwamba ni Manunuzi ya UMMA na kwa namna yoyote Taarifa zake zipo NEC sio kwenye "Vyanzo vyao"

Ikiwa Kampuni imeshinda zabuni na kupewa tenda ubaya uko wapi kiasi cha kutiliwa shaka na Mtu Mkubwa kama yeye?, Karatasi za kura zina maajabu gani yanayoweza kutiliwa shaka?, Ni nini umaalum wa kuona Afrika kusini wanaweza kuwa na sifa za ziada kuliko Jamana (Kama kweli Jamana ndio wametengeneza hizo ballot papers?)

Kama Chadema ambayo ni Taasisi, haijawahi kuingiliwa katika maamuzi ya manunuzi ya Vifaa vyake vya kazi na Taasisi nyingine yoyote, Je, Ni sawa kuishurutisha NEC kufuata matakwa ya CHADEMA?

Bw. Mnyika haoni kwamba kufanya hivyo ni kuingilia Uhuru wa Tume kama ambavyo anaaminisha Umma kwamba Tume hii haipo huru?, Unasisitizaje mabadiliko kama wewe hutaki kuwa Mfano?

USHAURI
Katika kutafuta Mafanikio kisiasa na hata kushika Dola ni vyema CHADEMA kikajikita zaidi kuonesha ubora wa sera zake kwa wananchi hasa katika siku hizi zilizobaki kuliko kila wakati kutafuta Migogoro na Migongano isiyo ya lazima na kuweka kila "kinachohisiwa hakipo sawa" mitandaoni au kwenye vyombo vya habari bila ya kufuata utaratibu wa kisheria ili kujiridhisha na jambo fulani na ikibidi kama haliko sawa kulizuia.
Kwanza umeonesha kwa jinsi gani hujui mamlaka au dhima ya chama cha upinzani,ungejua dhima ya chama cha upinzani,huwezi kuuliza madwali hayo kwa John Mnyika.Pili tafakari kwa makini sana kuhusu,mfumo mzima wa kupiga kura na uelewe maana ya uchaguzi,ndipo utaona umuhimu wa kuuliza kila kitu kuhusu,uchaguzi kuanzia,wajumbe wa tume hadi kalamu wanazotumia
 
Wewe huna akili!! Uchaguzi ni suala la umma, mnyika aende peke yake tume ili iweje??? Amefanya vizuri kutujulisha umma ili tujue ukweli wote na tufuatilie wote!!

Ccm lazima muumie sana mwaka huu kwa sababu mbinu zenu zote zinafeli mwaka huu!! Lazima dunia ijue ufedhuli wenu wote na iushughulikie mwaka huu!!
Wewe unawdanganywa na kina Kigogo ndio una akili?
 
Hakuna chama cha hovyo kabisa kama CHADEMA. Wameona maji yamewakaba kooni sasa wanaleta visingizio. Tulieni dawa ikolee, mnarukaruka nini..
Hakuna chama cha kipuuzi kama CCM wameona ngoma nzito wanatumia mabavu ya vyombo vya dola, CCM mpya haina tofauti na bokoharam
 
CHADEMA nawaweka kwenye kundi either la wajinga au matapeli.

Kwanza wanakiri zabuni ilitangazwa halafu wanaenda kulalamika kwenye vyombo vya habari, kama kuna shida ina maana hawajui pa kupeleka malalamiko yao au hizo ndio strategies waliopewa na Amstadam [emoji23][emoji23][emoji23]
CCM nawaweka kwenye kundi la mataahira
 
Kichwa maji orodha na idadi ya wapiga kura iko wazi iliahawai bandikwa kwenye vituo na itabandikwa tena siku nane kabla ya uchaguzi! Hivi chadema ni chama cha wajinga?
Hawana Taarifa!
Pengina hata Kadi hawana, lini siku ya uchaguzi hawajui nani wagombea nafasi ya Urais hawawajui. Ila hapa ni mashabiki kweli kweli
 
Nimefuatilia Press ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Bw. John John Mnyika, akiitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusisha vyama vya siasa juu ya manunuzi ya vifaa vyote vya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.

Mnyika anakiri kwamba Tume imeitisha zabuni ya manunuzi ya vifaa vya Uchaguzi zikiwemo Karatasi za kupiga Kura. Kwa Taarifa hiyo inathibitisha NEC imefuata taratibu za manunuzi ya Umma kisheria, Na kwa maana nyingine Mzabuni aliye shinda tenda ndiye aliyepewa kazi. Lakini Mnyika ameonesha wasiwasi juu ya Mzabuni wa Manunuzi ya karatasi tu za kupigia Kura (ballot papers) kuwa "kwa vyanzo vyao CHADEMA" Kampuni inayochapisha Karatasi iko Dar es salaam.

Kwa maoni yangu naona Bw. Mnyika anasahau kwamba kabla hajaifanyia uchunguzi NEC kupitia "vyanzo vyao" , yeye kama Kiongozi na mtendaji Mkuu wa Chama alitakiwa kufika NEC na apate Taarifa kuhusu manunuzi ya Vifaa mbali mbali yalivyofanywa kama kuna haja hiyo na (kwa basis ile ile) kwamba ni Manunuzi ya UMMA na kwa namna yoyote Taarifa zake zipo NEC sio kwenye "Vyanzo vyao"

Ikiwa Kampuni imeshinda zabuni na kupewa tenda ubaya uko wapi kiasi cha kutiliwa shaka na Mtu Mkubwa kama yeye?, Karatasi za kura zina maajabu gani yanayoweza kutiliwa shaka?, Ni nini umaalum wa kuona Afrika kusini wanaweza kuwa na sifa za ziada kuliko Jamana (Kama kweli Jamana ndio wametengeneza hizo ballot papers?)

Kama Chadema ambayo ni Taasisi, haijawahi kuingiliwa katika maamuzi ya manunuzi ya Vifaa vyake vya kazi na Taasisi nyingine yoyote, Je, Ni sawa kuishurutisha NEC kufuata matakwa ya CHADEMA?

Bw. Mnyika haoni kwamba kufanya hivyo ni kuingilia Uhuru wa Tume kama ambavyo anaaminisha Umma kwamba Tume hii haipo huru?, Unasisitizaje mabadiliko kama wewe hutaki kuwa Mfano?

USHAURI
Katika kutafuta Mafanikio kisiasa na hata kushika Dola ni vyema CHADEMA kikajikita zaidi kuonesha ubora wa sera zake kwa wananchi hasa katika siku hizi zilizobaki kuliko kila wakati kutafuta Migogoro na Migongano isiyo ya lazima na kuweka kila "kinachohisiwa hakipo sawa" mitandaoni au kwenye vyombo vya habari bila ya kufuata utaratibu wa kisheria ili kujiridhisha na jambo fulani na ikibidi kama haliko sawa kulizuia.
CHADEMA walitaka labda vifaa vyote vya uchaguzi vitoke Ujerumani kwenye NGO ya KAS. Jambo moja tu ninawahakikishia CHADEMA hata kama wao ndio watatengeneza karatasi za kura na mabox yake HAWANA UWEZO WA KUISHINDA CCM
 
Nimefuatilia Press ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Bw. John John Mnyika, akiitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusisha vyama vya siasa juu ya manunuzi ya vifaa vyote vya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.

Mnyika anakiri kwamba Tume imeitisha zabuni ya manunuzi ya vifaa vya Uchaguzi zikiwemo Karatasi za kupiga Kura. Kwa Taarifa hiyo inathibitisha NEC imefuata taratibu za manunuzi ya Umma kisheria, Na kwa maana nyingine Mzabuni aliye shinda tenda ndiye aliyepewa kazi. Lakini Mnyika ameonesha wasiwasi juu ya Mzabuni wa Manunuzi ya karatasi tu za kupigia Kura (ballot papers) kuwa "kwa vyanzo vyao CHADEMA" Kampuni inayochapisha Karatasi iko Dar es salaam.

Kwa maoni yangu naona Bw. Mnyika anasahau kwamba kabla hajaifanyia uchunguzi NEC kupitia "vyanzo vyao" , yeye kama Kiongozi na mtendaji Mkuu wa Chama alitakiwa kufika NEC na apate Taarifa kuhusu manunuzi ya Vifaa mbali mbali yalivyofanywa kama kuna haja hiyo na (kwa basis ile ile) kwamba ni Manunuzi ya UMMA na kwa namna yoyote Taarifa zake zipo NEC sio kwenye "Vyanzo vyao"

Ikiwa Kampuni imeshinda zabuni na kupewa tenda ubaya uko wapi kiasi cha kutiliwa shaka na Mtu Mkubwa kama yeye?, Karatasi za kura zina maajabu gani yanayoweza kutiliwa shaka?, Ni nini umaalum wa kuona Afrika kusini wanaweza kuwa na sifa za ziada kuliko Jamana (Kama kweli Jamana ndio wametengeneza hizo ballot papers?)

Kama Chadema ambayo ni Taasisi, haijawahi kuingiliwa katika maamuzi ya manunuzi ya Vifaa vyake vya kazi na Taasisi nyingine yoyote, Je, Ni sawa kuishurutisha NEC kufuata matakwa ya CHADEMA?

Bw. Mnyika haoni kwamba kufanya hivyo ni kuingilia Uhuru wa Tume kama ambavyo anaaminisha Umma kwamba Tume hii haipo huru?, Unasisitizaje mabadiliko kama wewe hutaki kuwa Mfano?

USHAURI
Katika kutafuta Mafanikio kisiasa na hata kushika Dola ni vyema CHADEMA kikajikita zaidi kuonesha ubora wa sera zake kwa wananchi hasa katika siku hizi zilizobaki kuliko kila wakati kutafuta Migogoro na Migongano isiyo ya lazima na kuweka kila "kinachohisiwa hakipo sawa" mitandaoni au kwenye vyombo vya habari bila ya kufuata utaratibu wa kisheria ili kujiridhisha na jambo fulani na ikibidi kama haliko sawa kulizuia.
Unasema karatasi zinamaajabu gani?
Jua yakuwa kunaweza kuwa na chemical zinawekwa kwenye kisanduku cha lisu ukimuwekea tick inafutika after 2 hours ,hiyo technology unajua?
 
Ikiwa Kampuni imeshinda zabuni na kupewa tenda ubaya uko wapi kiasi cha kutiliwa shaka na Mtu Mkubwa kama yeye?, Karatasi za kura zina maajabu gani yanayoweza kutiliwa shaka?, Ni nini umaalum wa kuona Afrika kusini wanaweza kuwa na sifa za ziada kuliko Jamana (Kama kweli Jamana ndio wametengeneza hizo ballot papers?)
Watu wengine mnajitoa akili na kujionyesha upumbavu wenu mkidhani waTanzania wote ni wajinga.

Unapoteza muda wako wote wa kuandika upuuzi hapo juu ukidhani watakaokusoma ni wajinga?

Kwa hiyo leo unajisikia raha sana kuona umefanya kazi muhimu ya kutetea ujinga?

Hebu soma maswali uliyojiuliza hapo juu; nakushauri ujaribu kuyajibu wewe mwenyewe uone ni kiasi gani ulivyo kilaza baada ya kuyajibu kwa majibu sahihi, kama uwezo huo unao.
 
Acha matumaini ya siyo na msingi CHADEMA HAWAWEZI KUSHINDA MWAKA HUU AU 2025... subiri tarehe 28 ipite nitakutafuta na majibu utakayonipa ni Ccm, Nec na polisi ni majizi ya kura hutakua na jibu jingine
CCM haiwezi kushinda kwa halali. Lkn kwa haramu inawezekana
 
Bw. Mnyika haoni kwamba kufanya hivyo ni kuingilia Uhuru wa Tume kama ambavyo anaaminisha Umma kwamba Tume hii haipo huru?, Unasisitizaje mabadiliko kama wewe hutaki kuwa Mfano?
mnyika ni kiongozi wa hovyo sana
mwaka 2015 alikua anailazimisha tume iwape nywila za mitandao ya tume
mwaka huu anakuja na kiroja cha kutaka tume ieleze mzabuni ni nani
karatasi ya kura hata ikichapwa Namtumbo,haibadili maamuzi yangu ya kumchagua Tundu lissu,anachofanya mnyika ni kuwavuruga wapiga kura wake na kuwakatisha tamaa tu
 
Chama cha wajuaji wa kila jambo hahahaha! Hivi Mnyika hajui kuwa kila kituo kina idadi fulani ya wapiga kura na mawakala wote watapewa orodha na idadi kamili ya wapiga kura? Hivi Mnyika anafukiri hizo karatasi za ziada au kura za ziada zitaongezwa kupitia kituo gani wakati kila kituo idadi ina julikana? Halafu uzuri karatasi huletwa kulingana na idadi ya wapiga kura kituo husika!

Chadema hawawezi shinda huu uchaguzi hata wangepewa accesss ya kukagua mfumo wa kujumlisha matokeo
Kwanini Zanzibar kura zinapigwa kwa siku mbili?
 
Kigogo ndio chanzo chenu cha habari?
Huyu Muongo Mkuu mnaemlipa kwa kuwajazia habari za ulaghai?
Picha za familia ya mtu akiwa nyumbani kwake unazileta hapa ili tukuone nani yani!
Jitahidini basi, Mmegilisika hoja, msigilisike na utashi bakizeni kidogo vijana wa Faragha
Huyo Kigogo toka aanze kuanika uchafu wenu kuna siku mmewahi kumjibu? zaidi mnahangaika tu kumtafuta yeye binafsi, jibuni kila anachokielekeza kwenu msihangaike na mtu.
 
Back
Top Bottom