Uchaguzi 2020 Ushauri wa bure kwa John Mnyika kuhusu mzabuni wa NEC

Shida umekaza akili hujataka kuelewa. Hamsaidiki nyie praise team. Angekuwa makini asingekuja na vyanzo vya kusikia. Unafanyiaje kazi umbea?
Mtu makini angekuja na ushahidi!
Tunapaswa kuwa na vyama vya siasa vyenye ushindani kwa hoja na sera sio maigizo kama haya ya CDM
 
Nimefuatilia Press ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Bw. John John Mnyika, akiitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusisha vyama vya siasa juu ya manunuzi ya vifaa vyote vya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.

Mnyika anakiri kwamba Tume imeitisha zabuni ya manunuzi ya vifaa vya Uchaguzi zikiwemo Karatasi za kupiga Kura. Kwa Taarifa hiyo inathibitisha NEC imefuata taratibu za manunuzi ya Umma kisheria, Na kwa maana nyingine Mzabuni aliye shinda tenda ndiye aliyepewa kazi. Lakini Mnyika ameonesha wasiwasi juu ya Mzabuni wa Manunuzi ya karatasi tu za kupigia Kura (ballot papers) kuwa "kwa vyanzo vyao CHADEMA" Kampuni inayochapisha Karatasi iko Dar es salaam.

Kwa maoni yangu naona Bw. Mnyika anasahau kwamba kabla hajaifanyia uchunguzi NEC kupitia "vyanzo vyao" , yeye kama Kiongozi na mtendaji Mkuu wa Chama alitakiwa kufika NEC na apate Taarifa kuhusu manunuzi ya Vifaa mbali mbali yalivyofanywa kama kuna haja hiyo na (kwa basis ile ile) kwamba ni Manunuzi ya UMMA na kwa namna yoyote Taarifa zake zipo NEC sio kwenye "Vyanzo vyao"

Ikiwa Kampuni imeshinda zabuni na kupewa tenda ubaya uko wapi kiasi cha kutiliwa shaka na Mtu Mkubwa kama yeye?, Karatasi za kura zina maajabu gani yanayoweza kutiliwa shaka?, Ni nini umaalum wa kuona Afrika kusini wanaweza kuwa na sifa za ziada kuliko Jamana (Kama kweli Jamana ndio wametengeneza hizo ballot papers?)

Kama Chadema ambayo ni Taasisi, haijawahi kuingiliwa katika maamuzi ya manunuzi ya Vifaa vyake vya kazi na Taasisi nyingine yoyote, Je, Ni sawa kuishurutisha NEC kufuata matakwa ya CHADEMA?

Bw. Mnyika haoni kwamba kufanya hivyo ni kuingilia Uhuru wa Tume kama ambavyo anaaminisha Umma kwamba Tume hii haipo huru?, Unasisitizaje mabadiliko kama wewe hutaki kuwa Mfano?

USHAURI
Katika kutafuta Mafanikio kisiasa na hata kushika Dola ni vyema CHADEMA kikajikita zaidi kuonesha ubora wa sera zake kwa wananchi hasa katika siku hizi zilizobaki kuliko kila wakati kutafuta Migogoro na Migongano isiyo ya lazima na kuweka kila "kinachohisiwa hakipo sawa" mitandaoni au kwenye vyombo vya habari bila ya kufuata utaratibu wa kisheria ili kujiridhisha na jambo fulani na ikibidi kama haliko sawa kulizuia.
Unashauri kitu ambacho ukijui? Mnapotaka kushauri afu huo ushauri unataka upitie jamii forum unatakiwa uwe umesoma na sheria za uchanguzi, au la huu ushauri wapelekee akina msukuma ndo wataupokea
 
Nadhani unahitaji kuhurumiwa tu, Sheria ya uchaguzi inahusikaje kwenye sheria ya manunuzi ya Umma?
Vitu viwili tofauti kabisa!
Usidandie
 
Nimefuatilia Press ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Bw. John John Mnyika, akiitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusisha vyama vya siasa juu ya manunuzi ya vifaa vyote vya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.

Mnyika anakiri kwamba Tume imeitisha zabuni ya manunuzi ya vifaa vya Uchaguzi zikiwemo Karatasi za kupiga Kura. Kwa Taarifa hiyo inathibitisha NEC imefuata taratibu za manunuzi ya Umma kisheria, Na kwa maana nyingine Mzabuni aliye shinda tenda ndiye aliyepewa kazi. Lakini Mnyika ameonesha wasiwasi juu ya Mzabuni wa Manunuzi ya karatasi tu za kupigia Kura (ballot papers) kuwa "kwa vyanzo vyao CHADEMA" Kampuni inayochapisha Karatasi iko Dar es salaam.

Kwa maoni yangu naona Bw. Mnyika anasahau kwamba kabla hajaifanyia uchunguzi NEC kupitia "vyanzo vyao" , yeye kama Kiongozi na mtendaji Mkuu wa Chama alitakiwa kufika NEC na apate Taarifa kuhusu manunuzi ya Vifaa mbali mbali yalivyofanywa kama kuna haja hiyo na (kwa basis ile ile) kwamba ni Manunuzi ya UMMA na kwa namna yoyote Taarifa zake zipo NEC sio kwenye "Vyanzo vyao"

Ikiwa Kampuni imeshinda zabuni na kupewa tenda ubaya uko wapi kiasi cha kutiliwa shaka na Mtu Mkubwa kama yeye?, Karatasi za kura zina maajabu gani yanayoweza kutiliwa shaka?, Ni nini umaalum wa kuona Afrika kusini wanaweza kuwa na sifa za ziada kuliko Jamana (Kama kweli Jamana ndio wametengeneza hizo ballot papers?)

Kama Chadema ambayo ni Taasisi, haijawahi kuingiliwa katika maamuzi ya manunuzi ya Vifaa vyake vya kazi na Taasisi nyingine yoyote, Je, Ni sawa kuishurutisha NEC kufuata matakwa ya CHADEMA?

Bw. Mnyika haoni kwamba kufanya hivyo ni kuingilia Uhuru wa Tume kama ambavyo anaaminisha Umma kwamba Tume hii haipo huru?, Unasisitizaje mabadiliko kama wewe hutaki kuwa Mfano?

USHAURI
Katika kutafuta Mafanikio kisiasa na hata kushika Dola ni vyema CHADEMA kikajikita zaidi kuonesha ubora wa sera zake kwa wananchi hasa katika siku hizi zilizobaki kuliko kila wakati kutafuta Migogoro na Migongano isiyo ya lazima na kuweka kila "kinachohisiwa hakipo sawa" mitandaoni au kwenye vyombo vya habari bila ya kufuata utaratibu wa kisheria ili kujiridhisha na jambo fulani na ikibidi kama haliko sawa kulizuia.
Tatizo ni kwamba ni ya mayanga construction company na mlipaji ni DJ
 
We ndo unaamka sa hizi watu washaona picha za Dodoma na ikungi ni balaa tupu,mpaka yehodaya akasema hakuna kijiji chenye watu wengi namna hiyo.

Au ndo unatoka kazini kwa wahindi sa hizi.
Mkuu watu Kama wakina YEHODAYA,BIA YETU,JENE LOWASSA, hawa wanawalaghai ccm tu, ila wanampenda lissu,na chadema na kwa kua kula ni sili hakuna ccm wa kuwaona ila hawa watampigia lissu
 
Yaani unataka NEC ifanye utopolo halafu tunyamaze? Eti Mnyika aende ofisi za tume.

Kwanini wao hawakwenda wao ofisi za CHADEMA kuwaambia kuwa wamebadilisha mzabuni?

Mwaka huu CHADEMA imewashika pabaya. Huku Robert Amsterdam, huku Lissu. Kule Mnyika huku Kigogo2014. Mtanyooka mwaka huu.
Ukweli CHADEMA wanaujua hawawezi kushinda, wanachokifanya ni kuandaa misemo ya baada ya uchaguzi, ooh tumeibiwa, ooh karatasi za kupigia kura, ooh tume, ooh serikali, hayo ndiyo maisha yao.
 
Huyu mleta Uzi ni Pimbi wa kutupa , yaani wale ambao bila CCM maisha hayaendi , anajidai haelewi hoja za mnyika kumbe anaelewa sana ila anautumikia uafisa kipenyo mkono uende kinywani . Tume haikufuata taratibu za kutangaza tenda na imevunja sheria. Huu ni moja ya vitimbi vya Nec na Zec mwenyekiti wa Zec anazindika ofisi ona hapa chini .
Screenshot_20201010-141123.png
IMG_20201010_141146.jpg
IMG_20201010_141201.jpg
IMG_20201009_120551.jpg
 
Huyu mleta Uzi ni Pimbi wa kutupa , yaani wale ambao bila CCM maisha hayaendi , anajidai haelewi hoja za mnyika kumbe anaelewa sana ila anautumikia uafisa kipenyo mkono uende kinywani . Tume haikufuata taratibu za kutangaza tenda na imevunja sheria. Huu ni moja ya vitimbi vya Nec na Zec mwenyekiti wa Zec anazindika ofisi ona hapa chini . View attachment 1596512View attachment 1596513View attachment 1596514View attachment 1596515
Ondoa hiyo pic ya chini kabisa.
 
Yaani unataka NEC ifanye utopolo halafu tunyamaze? Eti Mnyika aende ofisi za tume.

Kwanini wao hawakwenda wao ofisi za CHADEMA kuwaambia kuwa wamebadilisha mzabuni?

Mwaka huu CHADEMA imewashika pabaya. Huku Robert Amsterdam, huku Lissu. Kule Mnyika huku Kigogo2014. Mtanyooka mwaka huu.
Acha matumaini ya siyo na msingi CHADEMA HAWAWEZI KUSHINDA MWAKA HUU AU 2025... subiri tarehe 28 ipite nitakutafuta na majibu utakayonipa ni Ccm, Nec na polisi ni majizi ya kura hutakua na jibu jingine
 
Watanzania sio wajinga, Chadema kuna wanywa faru John, wala ruzuku na michango ya wabunge pamoja na pesa za mifuko ya majimbo ambayo Serikali huzitoa ili zisukume maendeleo. Oct 28,mtakaa pembeni. Tanzania ya kijani inakuja.
Wewe ni Mwanamke mweupe au mweusi?
 
Shida umekaza akili hujataka kuelewa. Hamsaidiki nyie praise team. Angekuwa makini asingekuja na vyanzo vya kusikia. Unafanyiaje kazi umbea?
Mtu makini angekuja na ushahidi!
Tunapaswa kuwa na vyama vya siasa vyenye ushindani kwa hoja na sera sio maigizo kama haya ya CDM
Acha ujuaji. Punguza kelele.

Tuhuma zimetolewa kwa Tume wewe unajibu kama nani?

Tume ndio wanatakiwa kuleta majibu watu wasogee next step, unataka ushahidi wewe umekuwa mahakama?
 
Huyu mleta Uzi ni Pimbi wa kutupa , yaani wale ambao bila CCM maisha hayaendi , anajidai haelewi hoja za mnyika kumbe anaelewa sana ila anautumikia uafisa kipenyo mkono uende kinywani . Tume haikufuata taratibu za kutangaza tenda na imevunja sheria. Huu ni moja ya vitimbi vya Nec na Zec mwenyekiti wa Zec anazindika ofisi ona hapa chini . View attachment 1596512View attachment 1596513View attachment 1596514View attachment 1596515
Kigogo ndio chanzo chenu cha habari?
Huyu Muongo Mkuu mnaemlipa kwa kuwajazia habari za ulaghai?
Picha za familia ya mtu akiwa nyumbani kwake unazileta hapa ili tukuone nani yani!
Jitahidini basi, Mmegilisika hoja, msigilisike na utashi bakizeni kidogo vijana wa Faragha
 
Chama cha wajuaji wa kila jambo hahahaha! Hivi Mnyika hajui kuwa kila kituo kina idadi fulani ya wapiga kura na mawakala wote watapewa orodha na idadi kamili ya wapiga kura? Hivi Mnyika anafukiri hizo karatasi za ziada au kura za ziada zitaongezwa kupitia kituo gani wakati kila kituo idadi ina julikana? Halafu uzuri karatasi huletwa kulingana na idadi ya wapiga kura kituo husika!

Chadema hawawezi shinda huu uchaguzi hata wangepewa accesss ya kukagua mfumo wa kujumlisha matokeo
 
Acha ujuaji. Punguza kelele.

Tuhuma zimetolewa kwa Tume wewe unajibu kama nani?

Tume ndio wanatakiwa kuleta majibu watu wasogee next step, unataka ushahidi wewe umekuwa mahakama?
Nimemshauri Mnyika. Wewe unakuja hapa kama nani?
 
Chama cha wajuaji wa kila jambo hahahaha! Hivi Mnyika hajui kuwa kila kituo kina idadi fulani ya wapiga kura na mawakala wote watapewa orodha na idadi kamili ya wapiga kura? Hivi Mnyika anafukiri hizo karatasi za ziada au kura za ziada zitaongezwa kupitia kituo gani wakati kila kituo idadi ina julikana? Halafu uzuri karatasi huletwa kulingana na idadi ya wapiga kura kituo husika!

Chadema hawawezi shinda huu uchaguzi hata wangepewa accesss ya kukagua mfumo wa kujumlisha matokeo
Umbumbumbu unasumbua sana. Sasa ukikutana na kizazi cha Ndiyo Mnyika/Mbowe/Kigogo hawawezi kuelewa haya[emoji3][emoji3][emoji3]
 
tume kukataa kutoa orodha ya wapiga kura ni wazi kwamba karatasi za jamana zitatumika kuwabeba ccm.

Kichwa maji orodha na idadi ya wapiga kura iko wazi iliahawai bandikwa kwenye vituo na itabandikwa tena siku nane kabla ya uchaguzi! Hivi chadema ni chama cha wajinga?
 
Watanzania sio wajinga kiasi hicho !!
Tunajua nini kinaendelea

QUOTE="Singo Batan, post: 36963474, member: 592579"]
Nimefuatilia Press ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Bw. John John Mnyika, akiitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusisha vyama vya siasa juu ya manunuzi ya vifaa vyote vya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.

Mnyika anakiri kwamba Tume imeitisha zabuni ya manunuzi ya vifaa vya Uchaguzi zikiwemo Karatasi za kupiga Kura. Kwa Taarifa hiyo inathibitisha NEC imefuata taratibu za manunuzi ya Umma kisheria, Na kwa maana nyingine Mzabuni aliye shinda tenda ndiye aliyepewa kazi. Lakini Mnyika ameonesha wasiwasi juu ya Mzabuni wa Manunuzi ya karatasi tu za kupigia Kura (ballot papers) kuwa "kwa vyanzo vyao CHADEMA" Kampuni inayochapisha Karatasi iko Dar es salaam.

Kwa maoni yangu naona Bw. Mnyika anasahau kwamba kabla hajaifanyia uchunguzi NEC kupitia "vyanzo vyao" , yeye kama Kiongozi na mtendaji Mkuu wa Chama alitakiwa kufika NEC na apate Taarifa kuhusu manunuzi ya Vifaa mbali mbali yalivyofanywa kama kuna haja hiyo na (kwa basis ile ile) kwamba ni Manunuzi ya UMMA na kwa namna yoyote Taarifa zake zipo NEC sio kwenye "Vyanzo vyao"

Ikiwa Kampuni imeshinda zabuni na kupewa tenda ubaya uko wapi kiasi cha kutiliwa shaka na Mtu Mkubwa kama yeye?, Karatasi za kura zina maajabu gani yanayoweza kutiliwa shaka?, Ni nini umaalum wa kuona Afrika kusini wanaweza kuwa na sifa za ziada kuliko Jamana (Kama kweli Jamana ndio wametengeneza hizo ballot papers?)

Kama Chadema ambayo ni Taasisi, haijawahi kuingiliwa katika maamuzi ya manunuzi ya Vifaa vyake vya kazi na Taasisi nyingine yoyote, Je, Ni sawa kuishurutisha NEC kufuata matakwa ya CHADEMA?

Bw. Mnyika haoni kwamba kufanya hivyo ni kuingilia Uhuru wa Tume kama ambavyo anaaminisha Umma kwamba Tume hii haipo huru?, Unasisitizaje mabadiliko kama wewe hutaki kuwa Mfano?

USHAURI
Katika kutafuta Mafanikio kisiasa na hata kushika Dola ni vyema CHADEMA kikajikita zaidi kuonesha ubora wa sera zake kwa wananchi hasa katika siku hizi zilizobaki kuliko kila wakati kutafuta Migogoro na Migongano isiyo ya lazima na kuweka kila "kinachohisiwa hakipo sawa" mitandaoni au kwenye vyombo vya habari bila ya kufuata utaratibu wa kisheria ili kujiridhisha na jambo fulani na ikibidi kama haliko sawa kulizuia.
[/QUOTE]
 
Mkuu umeandika nini ,sijui, chombo Kama nec kinataratibu zake za kuhusisha wadau ikiwemo vyama vyama siasa , Sasa we ulitaka mnyika ajipeleke nec kuhuliza wakati ni wajibu wa nec kuweka Mambo haya wazi na hakuna sababu ya kuficha.
Ushauri kwa nec mmepewa mabilion ya watanzania toka ndani ili mchakato wa uchaguzi uwe Bora zaidi,na katibu mkuu mh mnyika Jana katoa maelezo mazuri Sana Jana
Hatutaki vurugu hapa tz kwanza,Kama kweli mnachapisha karatasi za Kura JAMANA TZ mpango huu sitisha Mara moja ,uchaguzi ni garama so chapisha nje ya tz, full stop,
ZIMEBAKI SIKU NNE KUMALIZA MFUNGO JUU YA TAIFA LANGU
 
Wewe huna akili!! Uchaguzi ni suala la umma, mnyika aende peke yake tume ili iweje??? Amefanya vizuri kutujulisha umma ili tujue ukweli wote na tufuatilie wote!!

Ccm lazima muumie sana mwaka huu kwa sababu mbinu zenu zote zinafeli mwaka huu!! Lazima dunia ijue ufedhuli wenu wote na iushughulikie mwaka huu!!

Back
Top Bottom