Ushauri wa bure kwa Keyboard Warrior wote wa JF

Kwa hiyo unataka tutulie kidogo ili Mchengerwa na Abdul waendelee kula keki ya taifa bila bugudha ya sie makapuku?
 
Ahsante sana kwa ujumbe mzuri.
 
Majority ya hawa keyboard warriors ni ma jobless wasio na mbele wala nyuma.Matatizo yao kimaisha yamewafanya wawe bitter na kuilaumu Serikali kwa failure zao.Wengi wamefeli kimaisha hawana mitaji wala ajira.
Badala ya kupambana wanatafuta scapegoat Ni rahisi kwao kulaumu wengine na kutukana kwa kufeli kimaisha.
 
Aliyoyaongea Gwajima! alikuwa amejificha kwenye keyboy?
Sikia, ogopa sana mtu muoga.
Obote alipofanikiwa kurudi mara ya pili aliua watu 300,000.
Kila aliyemsikia akimkosoa alikufa.
Na ndipo ilipofikia ccm, ukweli imechokwa na karibu nchi nzima.
Ukweli walichobakiwa nacho ni rushwa Na vitisho.
Mwaka 1995 ule uchaguzi ilionyesha dalili za ccm kuchokwa,na kama siyo juhudi za mwl.nyerere kumpigania Mkapa leo tungekuwa tumeisahau ccm.
Kinachoendelea sasa ni uhalisia wa kuchokwa Kwa ccm.
Maneno ya Gwajima siyo ya kutisha au kuudhi kama ya Mchg Mtikila.
Lakini kwa kuwa ccm nyakati zile ilikuwa inapendwa hakuna aliyehangaika naye. Ukweli sasa hivi ccm wanajijua wamechokwa na wameogopa.
Ogopa sana mtu muoga.
 
Toka front mkuu , mtu unajitutumua kwenye Keyboard kukinukisha haujawi hata kusikilia mlio wa Bomu ukisikia baruti tu mavi debe ndio unajikuta mwamba ?
Wewe unafanya nini humu?
Umekwisha fikiwa na mgawo wa Abdul?
Kamwambie kuwa mapambano yapo kila mahala, hata asipoweza kupafikia na pesa zake chafu.
 

Jamaa wana roho mbaya sana mpaka kwenye mambo ya kipuuzi pia wanatubania
 

Kwani imekuwa vigumu kuwapata hao ndugu mngependa watokee Ili kazi ya kuwateka iwe rahisi zaidi, au?
 
Acha faraja za kijinga,tatizo ni linga walizojiqekea ili siku ukiwasumbua kwa kunyoroshe bila kuhojiwa na yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…