Hilo ndio jibu, pigia mstari!Huu sio mpango wa CCM kweli ili kukifanya ACT kuonekana chama kikuu cha upinzani?
Samia hashindi. Mimi siwezi kuchagua kilaza. Nachagua akili na uzalendoMhe. Mpina nimekuona kwenye clip na pia kwenye mitandao ya kijamii kuwa unashawishiwa na ACT- Wazalendo kuwa ugombee nafasi ya Urais kupitia Chama hicho. Nakupa ushauri wa bure. ACHA KABISA wazo hilo. Kama unataka cheo chochote kupitia siasa gombea nafasi ya ubunge hata kwa kupitia Chama chao.
Wanachotaka ACT- Wazalendo kutoka kwako pindi utakapogombea nafasi ya Urais ni viti maalum vya akina mama kule Bungeni. Wana uhakika ukigombea nafasi ya Urais kuchuana na Mhe. Samia unaweza kupata angalau asilimia 30 ya kura zote na hii itawawezesha kuwa Chama Kikuu cha upinzani na kuwa na viti maalum vingi kwa akina Mama kule Bungeni. Kwa hakika Mhe. Samia huwezi kumshinda ila hawa wanataka kukutumia tu kwa manufaa yao.
Kaa nao mezani na uwaambie bila 3bn/= hiyo kazi haiwezekani. Wasije wakakutumia tu baada ya uchaguzi wanakutupa na kukusahau.
Nawasilisha.
Ashukuriwe Mungu dunia yote inajua, chama cha upinzani Tanzania ni kimoja tu. Na mwenyekiti wa chama hicho amewekwa ndani kwa kesi ya uongo kutokana na uoga wa washindani wake kwenye kinyang'angiro cha uchaguzi. Kuweka mapandikizi kwenye ccm B hakusaidii kuhalalisha uchaguzi.Mpina ni pandikizi..kama ilivyokua kwa ENL na Sumaye. Amekuja ku balance kitu kinaitwa "democratic election".
Asilimia 30 aitoe wapi? Watu pekee waliowahi kufikia asimilia hiyo ni Mrema na Lowassa tu na wale majamaa walikuwa na umaarufu mkubwa sana na mtaji wa watu wazito ndani ya CCM. Mpina hata asilimia 3 hatafikisha.Mhe. Mpina nimekuona kwenye clip na pia kwenye mitandao ya kijamii kuwa unashawishiwa na ACT- Wazalendo kuwa ugombee nafasi ya Urais kupitia Chama hicho. Nakupa ushauri wa bure. ACHA KABISA wazo hilo. Kama unataka cheo chochote kupitia siasa gombea nafasi ya ubunge hata kwa kupitia Chama chao.