Wanasiasa wetu walio wengi wanaitumia siasa kwa mikakati ya kula Bata wao, familia zao na madanga yao.
Unaweza kumsikiliza mtu, ukamwona kwa matendo na kauli zake kuwa huyu kweli anapigania haki na ukweli. Lakini kumbe yeye binafsi unakuta anajua alichokilenga. Unakuta anayoyatamka na kuyaonyesha siyo yale yaliyomo moyoni mwake. Huu ndio unafika uliiotukuka.
Kitendo cha Luhaga Mpina kwenda ACT na kugombea Urais, kinaonyesha wazi haya niliyosema hapo juu.
Wanasiasa wetu asilimia kubwa ni wanafiki, wabinafsi na wachumia tumbo. ACT wanajulikana kabisa na mabosi wao wanajulikana, baadhi ya viongozi wao ni maswahiba wa wakubwa upande ule, wanatumika na.mfumo tunajua. Na wewe unaenda humo??? Yote uliyokuwa unaongea kukosoa ulikuwa ni unafiki tu ili kasungura kawe kakubwa zaidi. Danganya wajinga
Vijana wa Chadema muna wivu sana