Ushauri wa bure kwa Mheshimiwa Sitta

Ushauri wa bure kwa Mheshimiwa Sitta

Mhabarishaji

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2010
Posts
1,007
Reaction score
600
Sitta, ninakupa ushauri wa bure, baada ya kuwa umechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa kudumu wa Bunge Maalum la Katiba. Tatizo lako kubwa, ni kwamba, you talk too much! Kificho ameweka standard mpya ya Spika (Mwenyekiti), so be careful, au siyo kazi yako nzuri ya nyuma inaweza kuingia mchanga.

Biblia inasema katika MITHALI 10:19,"Katika wingi wa maneno hapakosi kuwa na maovu; bali yeye azuiaye midomo yake hufanya akili." Kificho yuko makini, hasemi maneno mengi, na ni mwangalifu sana katika kuchagua maneno ya kuzungumza.

Mind you, kwa kila jambo sasa, unapimwa katika mizani na kulinganishwa na Mwenyekiti wa muda, Kificho, na wala siyo Anna Makinda! Watu wengi wanatarajia kwamba Mwenyekiti wa kudumu, atakuwa na uwezo na hekima zaidi, kuliko Mwenyekiti wa muda!

Kumbuka kwamba kuanzia sasa, kila neno lako moja, lina tafsiri elfu moja, kwa maadui zako, na kwa mashabiki wako wa zamani! Neema ya Mungu ikufunike!
 
Sitta, ninakupa ushauri wa bure, baada ya kuwa umechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa kudumu wa Bunge Maalum la Katiba. Tatizo lako kubwa, ni kwamba, you talk too much! Kificho ameweka standard mpya ya Spika (Mwenyekiti), so be careful, au siyo kazi yako nzuri ya nyuma inaweza kuingia mchanga. Biblia inasema katika MITHALI 10:19,"Katika wingi wa maneno hapakosi kuwa na maovu; bali yeye azuiaye midomo yake hufanya akili." Kificho yuko makini, hasemi maneno mengi, na ni mwangalifu sana katika kuchagua maneno ya kuzungumza. Mind you, kwa kila jambo sasa, unapimwa katika mizani na kulinganishwa na Mwenyekiti wa muda, Kificho, na wala siyo Anna Makinda! Watu wengi wanatarajia kwamba Mwenyekiti wa kudumu, atakuwa na uwezo na hekima zaidi, kuliko Mwenyekiti wa muda! Kumbuka kwamba kuanzia sasa, kila neno lako moja, lina tafsiri elfu moja, kwa maadui zako, na kwa mashabiki wako wa zamani! Neema ya Mungu ikufunike!

acha uzandiki wewe Sitta anaomgea sana kivipi?
 
Nimemkubali sana huyu mzee Kificho . Maana 6 anazungumza mno na mbwembwe nyingi mpaka anaboa. Kwa mwendo wa hili Bunge anaweza kususiwa vikao hasa katika masuala ya muungano na muundo wa serikali ameanza kutangaza misimamo mapema na kuwashambulia maadui wake mapema.
 
Kwa mfano leo eti karopoka, atawashughulikia wanaotaka kuvunja muungano.tayari keshaanza kupotoka kwa kule wa madaraka
 
Sitta anapaswa amuombe mungu sana, ili atimize matakwa ya wananchi kuhusu katiba yao!
 
I'm sure he can manage the chair, tumpe nafasi kwanza aanze kazi.
 
Ni ushauri mzuri sana na upo katika muda muafaka
 
Kwa mfano leo eti karopoka, atawashughulikia wanaotaka kuvunja muungano.tayari keshaanza kupotoka kwa kule wa madaraka

Sidhani kama karopoka. Nadhani hata ukizitazama hadidu za rejea za tume wa Warioba walitakiwa kutafuta namna bora ya kuudumisha muungano na sio kuuvunja. It means yeyote mwenye mawazo ya kuvunja muungano hafai kuwepo kwenye bunge la katiba.
 
Nimemkubali sana huyu mzee Kificho . Maana 6 anazungumza mno na mbwembwe nyingi mpaka anaboa. Kwa mwendo wa hili Bunge anaweza kususiwa vikao hasa katika masuala ya muungano na muundo wa serikali ameanza kutangaza misimamo mapema na kuwashambulia maadui wake mapema.

Kwa wachambuzi, ile kauli yake si ya kiungwana, imejaa KUNJI badala ya mrengo wa Maridhiano, hakutakiwa kutumia lugha ya ubabe!
 
Sidhani kama karopoka. Nadhani hata ukizitazama hadidu za rejea za tume wa Warioba walitakiwa kutafuta namna bora ya kuudumisha muungano na sio kuuvunja. It means yeyote mwenye mawazo ya kuvunja muungano hafai kuwepo kwenye bunge la katiba.

Mimi tangu mwanzo hadi leo, sijamsikia mtu akitamka kuvunja Muungano, sasa sijui nadharia hiyo kuwa kuna kuvunja Muungano inatoka wapi!
 
Mtikila juzi kasema kuwa Mungu hautaki Muungano na kayasemea bungeni
 
...hivi kwa ninyi "hasa WAARABU NA MASHOMBESHOMBE WENYA ASILI YA UARABUNI" anapojitokeza kiongozi akasema kuwa "Atautetea Muungano kwa nguvu zake zote" KWA NINI MNAMCHUKIA?
 
Kwasababu tunataka mtuachie Znz yetu....ili ndugu zetu pia wapate kurudi nyumbani
 
Ndo maana mmoja ni Sita na Mwingine ni Kificho. Hawa ni watu wawili tofauti kabisa. Ni makosa makubwa kumlazimisha Sita awe Kificho. Hata kama wangezaliwa na mama mmoja. Lazima tofauti zitakuwepo. Let Six be!
 
Back
Top Bottom