Ushauri wa Bure kwa Vijana

mjusilizard

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2019
Posts
1,027
Reaction score
1,869
Vijana tafuteni hela MTUNZE familia zenu, acheni kuelekeza nguvu kuipinga serikali na kujihusisha na SIASA MAJITAKA, kazana kutafuta ugali, ya serikali iachie serikali
 
Lakini mkuu,Maisha ni siasa pia,Siasa zina impact kubwa sana katika maisha ya kila siku ya hao vijana unaowashauri na watu wote pia,

Au wewe ulikusudia kusema Siasa zipi?
 
Bila kujipendekeza huko kwenye siasa ya chama tawala huo ugali utaupata wapi
vijana tafuteni hela MTUNZE familia zenu, acheni kuelekeza nguvu kuipinga serikali na kujihusisha na SIASA MAJITAKA, kazana kutafuta ugali, ya serikali iachie serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…