Ushauri wa bure kwa watawala: Wapeni Watanganyika Tanganyika yao

Ushauri wa bure kwa watawala: Wapeni Watanganyika Tanganyika yao

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Watanganyika wanaitaka Tanganyika yao! Msipowapa kwa hiari watajitwalia wenyewe kwa namna nyingine!

Watanganyika wanaitaka Tanganyika yao! Msipowapa leo kwa heshima watajichukulia wenyewe kesho bila nyie kupenda!

Uvumulivu una mwisho. Wa Watanganyika nao upo ukingoni.

Hima! Jitunzieni heshima yenu kwa kuwapa Watanganyika Tanganyika yao kwa amani.

Huo ni ushauri tu. Una haki ya kuukubali au kuukataa, lakini usije ukasema baadaye kuwa hukushauriwa na Watanganyika wenye nia njema na Tanganyika.

Long live Tanganyika!!!
 
Back
Top Bottom