Ushauri wa bure : usijaribu kwenda kupima HIV/UKIMWI kama hujajipanga kiakili.

Upo sahihi mkuu, hii form nilishaitumia, baada ya kuishi huko kwao kwa mwaka mzima, siku nikaletewa form kupimwa upya pamoja na mke na mtoto baada ya wao kuja kuungana na mimi, sema wenzetu wapo makini hata hivyo naona cancer na wao inawafyeka kama ukimwi huku kwetu
Muhimu tuwe makini na afya zetu hasa kama tuna ndoto za kwenda kusoma au kuishi ng'ambo maana kuna nchi ukichakutwa na Virus hawakubali hasa kama unaenda kuishi zaidi ya miezi sita
 
Duh kweli hii process haikwepeki ukitaka kwenda lazima wakugeme damu
Alafu wajanja hawakuambi uende unapotaka wewe kwenda kupima unaenda pale wao wanapokwambia kufanya testing
Na wana doctor wao maalum

Ova
 
Wanajua sisi waafrika hatuaminiki na madaktari wetu tunaweza kudanganya. Si umeona na elimu zetu ukienda baadhi ya nchi hawazikubali hadi usome kwanza kwao. Kuna ukweli fulani mkuu!
 
Wanajua sisi waafrika hatuaminiki na madaktari wetu tunaweza kudanganya. Si umeona na elimu zetu ukienda baadhi ya nchi hawazikubali hadi usome kwanza kwao. Kuna ukweli fulani mkuu!
Si wanajua tunaweza kuchakachua majibu
Wale cic ni kupima ngoma na mambo ya forencic.....
Ila nashukuru nlitusua

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…