Misitu
Senior Member
- Feb 23, 2008
- 117
- 167
Upo sahihi mkuu, hii form nilishaitumia, baada ya kuishi huko kwao kwa mwaka mzima, siku nikaletewa form kupimwa upya pamoja na mke na mtoto baada ya wao kuja kuungana na mimi, sema wenzetu wapo makini hata hivyo naona cancer na wao inawafyeka kama ukimwi huku kwetuKuna wakati nliendaga nchi moja
Kwenye moja ya process yao ilikuwa lzima nifanye medical checkup
Ambayo wanakucheki hadi ngoma
Lakini kidume nlijilipuaaa
Alafu syo unaenda wewe tu kupima
Wao ndy wana ku direct uende kwa mtu wao hapa anakufanyia
Tulikuwa watu 5 kati ya 5,watu 4 walisanda
Ni kwli unachosema kupima ngoma usikurupuke
Ova
View attachment 1095073
Muhimu tuwe makini na afya zetu hasa kama tuna ndoto za kwenda kusoma au kuishi ng'ambo maana kuna nchi ukichakutwa na Virus hawakubali hasa kama unaenda kuishi zaidi ya miezi sita