Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 3,809
- 6,948
Kwanza napenda kuishukuru serikali kwa kusikiliza ushauri niliowahi kutoa katika Uzi wangu mmoja wiki kadhaa zilizopita kuhusiana na kufungua taasisi za elimu ila kwa tahadhari.
Leo kuna jambo ambalo nadhani linaweza kuwa bado lilikuwa overlooked ila likiangaliwa linaweza kusaidia kuongeza tahadhari kwa vijana wetu.
Nadhani kama sikosei, kama moja ya njia za kumfanyia assessment mwanafunzi, vyuo vingi Tanzania bado vina kipengele cha kuangalia mahudhurio ya darasani.
Sasa kwa kuwa tuko kwenye kipindi cha mpito hadi janga hili litakapotokomea au hatari zake kupungua sana, mimi ningeshauri hiki kipengele kiondolewe.
Pia wanafunzi waambiwe KWA MAKUSUDI KABISA mwanzoni mwa semester kuwa kipengele hiko kimeondolewa kwa makusudi ya nyakati hizi.
Wanafunzi pia wawe ENCOURAGED wenyewe kwa wenyewe kupeana zamu ya kwenda madarasani. Yaani leo mnasema mtaenda kundi fulani, kesho wanaenda wengine, halafu wanashare tu materials na taarifa muhimu.
Hayo yakifanyika, zoezi hili litaenda salama.
USHAURI HUU UWAFIKIE WAHUSIKA POPOTE PALE WALIPO.