Sijaelewa hii unashauri distance learning au learning without learning? students's self learning? umenivuruga
Rebeca 83 Galileo_Gaucho
Kama nilivyosema, hili ni jambo la dharura tu. Vyuo havitakiwi kwenda na approach ile ile wakati hali inahitaji mabadiliko ya dharura.
Na uzuri wa ushauri huu, hauna gharama zozote na hazihitaji mabadiliko yoyote ya ratiba.
Madarasa bado yataendelea kama kawaida, ila mawazo niliyotoa ni jinsi vyuo vinaweza kupunguza misongamano bila kuharibu utaratibu wa kawaida uliowekwa.
Rebeca 83 Galileo_Gaucho
Kama nilivyosema, hili ni jambo la dharura tu. Vyuo havitakiwi kwenda na approach ile ile wakati hali inahitaji mabadiliko ya dharura.
Na uzuri wa ushauri huu, hauna gharama zozote na hazihitaji mabadiliko yoyote ya ratiba.
Madarasa bado yataendelea kama kawaida, ila mawazo niliyotoa ni jinsi vyuo vinaweza kupunguza misongamano bila kuharibu utaratibu wa kawaida uliowekwa.
Learner centered approach, independent reading, multiple sessions, dividing large classes, wizara mtambuka zishirikiane, encourage digital or online learning, soft copies.
Kusema ugawanye madarasa ni ngumu, ratiba za vyuo huwa zinakuwa zinabana sana. Na online learning ni suala linalohitaji kujipanga na kujiandaa. Itachukua muda.
Nimekuelewa ndugu..in short kupambana na corona kuna challenges... ila nadhani ni ushauri mzuri kufanya rotation, ila bado kuna wanafunzi wengi sana hata kufanya rotation itakua challenge kubwa since madarasa ya kawaida tuu huwaga yanajaa wanafunzi kupitiliza
Hata hivyo wazo lako ni zuri, weekend pia itumike ikiwezekana.... na kama vipi masomo yanaweza kuwa delivered kwa Internet ,,, kwa kuwa access ni vigumu kwa kila mwanafunzi then wachache Waende kwenye lecture room physically ila wengine waende kwenye lecture room nyingine na kuhudhuria kipindi kwa njia ya Internet... with technology everything is possible...
Tanzania na duniani kuna vituko nawaza tu wakati nasoma wanafunzi wakipewa notes in advance na waalimu hawasomi na wanasema hawaelewi mpaka mwalimu ahutubia mhadhara, daah hahahaaa sijui hii corona semester itakavo wafunda student centered approach,
Corona imebadilisha landscape of how a student learn.lol..sasa hivi independent learning ndio itashika hatamu..a blessing in disguise...hata hivyo kwa wahenga kusoma mwenyewe mwenyewe ni ngumu, kubadilisha system yetu inayo encourage cramming kwenda to independent learning..ni tabu kweli..labda kwa vijana wa sasa..kwa wazee waliosoma na system iliyopita ukiwaambia waende kusoma now ni majanga