Uchaguzi 2020 Ushauri wa faida kwa Benard Kamilius Membe

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,252
Reaction score
8,003
Membe, Wewe umri wako bado unakuruhusu 100% kugombea Urais hata miaka 10 ijayo. Ningekuomba kwa sababu moja kubwa na muhimu sana tena itakayokujengea heshima kubwa sana, kwakua chama chako cha ACT bado ni kichanga na kinahitaji kujijenga, hebu ingieni makubaliano na CHADEMA muunganishe nguvu ya pamoja Muungeni mkono mgombea Urais wao na mgawane majimbo ya Ubunge.

Umri wako baada ya miaka 10 utakua na miaka zaidi ya 70 kama sikosei, bado utakuwa na nafasi ya kugombea Urais na ukafanikiwa ikiwa Tundu Lissu atafanikiwa awamu hii akupe nafasi muhimu katika Wizara zake mfanye kazi kwa pamoja kwa kutumia sera za vyama vyote viwili. Baada ya miaka 10 ijayo panapo majaliwa ya Mola CHADEMA wawe tayari kukupa kijiti kwa unyenyekevu mkubwa kabisa. Kwa sasa vumilia isitoe aibu kama walivyofanya mzee EDO na mwenzake kurudi CCM.

KUMBUKA HESABU HII
100X1= 100
100÷2=50
 
Chadema hawaaminiki! UKAWA ilikufa baada ya chadema kusimamisha wagombea mpaka sehemu walizokubaliana wasimamishe washirika wenzake.

Kila mmoja apambane kivyake
 
Kama kweli ametoka CCM kwa lengo la kupinga maovu na manyanyaso wanayofanyiwa watanzania ,anawapenda watanzania ,hakuja kiusanii kama Lowassa atafanya hivyo unavyosema.
 
Kikao maalum chaendelea Chamwino ku-finalise kila kitu.
 
Membe, Wewe umri wako bado unakuruhusu 100% kugombea Urais hata miaka 10 ijayo. Ningekuomba kwa sababu moja kubwa na muhimu sana tena itakayokujengea heshima kubwa sana, kwakua chama chako cha ACT bado ni kichanga na kinahitaji kujijenga, hebu ingieni makubaliano na CHADEMA muunganishe nguvu ya pamoja Muungeni mkono mgombea Urais wao na mgawane majimbo ya Ubunge.
Mkuu Mahanju, najua umeutoa ushauri huu kwa nia njema. Kwa vile muamuzi wa nani ni mgombea wa pamoja wa upinzani makini, utafanyika baada ya wagombea kupitishwa na NEC and not before, kwasababu mpaka sasa hakuna hata huo uhakika kama Lissu atapitishwa, kufuatia kuvuliwa ubunge kwa kosa la kukiuka maadili ya uongozi wa umma, mtu mwenye kosa la kukiuka maadili ya uongozi wa umma, anakuwa disqualified kugombea urais, hivyo, ikitokea Lissu ni disqualified, mgombea wa pamoja wa upinzani makini ni Membe.

Kwa Bernard Membe, the time is now or never, usimchuuze at 70 ndio aje kugombea!, he would stand no chances at all!, kwasababu hata 2025, ZZK mwenyewe anaingia ulingoni!.

P
 
Ujue Paskali Mayalla tusiongee kwa kujifurahisha tu na kujipa matumaini yanaweza kutupotezea muda. Mimi ni Mwanaccm mwezio ila naona hujui jambo. Hili la Lissu kutogombea kwa kuenguliwa siyo suala dogo kama ambavyo tunafikiria, sua la kutojaza fomu za tume ya maadili na utoro bungeni lilihusiana na nafasi yake ya ubunge wala halina uhusiano na Urais. Suala la maadili kuhusu mtu kugombea Urais ni kesi nyingine kabisa, kwa sasa Lissu siyo kiongozi wa umma unataka ahangaike na shtaka la maadili au utoro bungeni?

NEC pia ni lazima itazame na uhalisia wa jambo na hali ya kisiasa ya nchi yetu. Itaachia wananchi waamue wao wenyewe
 
Mkuu Mahanju, najua umeutoa ushauri huu kwa nia njema. Kwa vile muamuzi wa nani ni mgombea wa pamoja wa upinzani makini, utafanyika baada ya wagombea kupitishwa na NEC and not before, kwasababu mpaka sasa hakuna hata huo uhakika kama Lissu atapitishwa, kufuatia kuvuliwa ubunge kwa kosa la kukiuka maadili ya uongozi wa umma, mtu mwenye kosa la kukiuka maadili ya uongozi wa umma, anakuwa disqualified kugombea urais, hivyo, ikitokea Lissu ni disqualified, mgombea wa pamoja wa upinzani makini ni Membe.

Kwa Bernard Membe, the time is now or never, usimchuuze at 70 ndio aje kugombea!, he would stand no chances at all!, kwasababu hata 2025, ZZK mwenyewe anaingia ulingoni!.

P
E ndelea kujilisha upepo
 
Inaelekea husomi alama za nyakati na hunitakii nchi mema baada ya wewe kupigwa spana.
NEC kwa busara zao hawawezi kuingiza nchi kwenye machafuko kwa kumuengua Lissu!!
 
Wajumbe walichokutenda KAWE hutokuja kusahau wewe
 
Sasa sio Zamani.
ACT-Wazalendonna Chadema lazima wakae chini wayajenge.
Tamaa ya madaraka haita wavusha kufikia lengo lao.
Kwa sasa LISU ni chaguo la wananchi kuhusu Mpinzani anayegombea kiti cha Uraisi.
Hivyo basi kama tuna vyama makini hapa nchini TZ....
Basi ni lazima Wapinzani wamwunge mkono LISU.
Ikitokea LISU kapata pingamizi, basi ni lazima Wapinzani wachague chaguo la pili ambalo ni MEMBE.

Kama kweli Wapinzani wana malengo chanya
 
Membe, Wewe umri wako bado unakuruhusu 100% kugombea Urais hata miaka 10 ijayo. Ningekuomba kwa sababu moja kubwa na muhimu sana tena itakayokujengea heshima kubwa sana, kwakua chama chako cha ACT bado ni kichanga na kinahitaji kujijenga, hebu ingieni makubaliano na CHADEMA muunganishe nguvu ya pamoja Muungeni mkono mgombea Urais wao na mgawane majimbo ya Ubunge.

Umri wako baada ya miaka 10 utakua na miaka zaidi ya 70 kama sikosei, bado utakua na nafasi ya kugombea Urais na ukafanikiwa ikiwa Tundu Lissu atafanikiwa awamu hii akupe nafasi muhimu katika Wizara zake mfanya kazi kwa pamoja kwa kutumia sera za vyama vyote viwili. Baada ya miaka 10 ijayo panapo majaliwa ya Mola CHADEMA wawe tayari kukupa kijiti kwa unyenyekevu mkubwa kabisa. Kwa sasa vumilia isitoe aibu kama walivyofanya mzee EDO na mwenzake kurudi CCM.

KUMBUKA HESABU HII
100X1= 100
100÷2=50
Membe hawezi kuingia mtego wa kumalizana,yeye hajakuja upinzani kuhimarisha upinzani,yeye amekuja kuchukuwa urais kupitia upinzani full stop.Hana tofauti na Lowassa wala Nyarandu wote ni kuchukua madaraka walionyimwa na CCM.
 
Wajumbe walichokutenda KAWE hutokuja kusahau wewe
Duh...!, kumbe hujui watu tofauti wamejaaliwa uwezo tofauti wa kusahau, depending na malengo ya kugombea. Kama unaamini wagombea wote 176 wa Kawe, kila mmoja wao aliutaka ubunge wa Kawe, then ni kweli kila iliyapata kura sifuri na kura moja, hawatasahau, lakini wale wagombea wa kimkakati kwa malengo mengine, ile tuu kuvaa sare ya CCM na kugombea, hata kwa kura sifuri!, malengo yametimia!.
Mimi kwa upande wangu nilisahau pale pale ukumbini.
Je, wajua kuna watu wazuri, waadilifu wenye uwezo, wanaotaka kuingia Bungeni kulisaidia Taifa, Bunge na kumsaidia JPM kwa dhati, lakini kwa vile...
P
 
Inaelekea husomi alama za nyakati na hunitakii nchi mema baada ya wewe kupigwa spana.
NEC kwa busara zao hawawezi kuingiza nchi kwenye machafuko kwa kumuengua Lissu!!
Time is the best judge!. Yaani NEC iogope kumkata mtu kwasababu ni maarufu saaana!, anapendwa saaana na watu!. Wait and see!.
P
 
Back
Top Bottom