MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,252
- 8,003
Membe, Wewe umri wako bado unakuruhusu 100% kugombea Urais hata miaka 10 ijayo. Ningekuomba kwa sababu moja kubwa na muhimu sana tena itakayokujengea heshima kubwa sana, kwakua chama chako cha ACT bado ni kichanga na kinahitaji kujijenga, hebu ingieni makubaliano na CHADEMA muunganishe nguvu ya pamoja Muungeni mkono mgombea Urais wao na mgawane majimbo ya Ubunge.
Umri wako baada ya miaka 10 utakua na miaka zaidi ya 70 kama sikosei, bado utakuwa na nafasi ya kugombea Urais na ukafanikiwa ikiwa Tundu Lissu atafanikiwa awamu hii akupe nafasi muhimu katika Wizara zake mfanye kazi kwa pamoja kwa kutumia sera za vyama vyote viwili. Baada ya miaka 10 ijayo panapo majaliwa ya Mola CHADEMA wawe tayari kukupa kijiti kwa unyenyekevu mkubwa kabisa. Kwa sasa vumilia isitoe aibu kama walivyofanya mzee EDO na mwenzake kurudi CCM.
KUMBUKA HESABU HII
100X1= 100
100÷2=50