Uchaguzi 2020 Ushauri wa faida kwa Benard Kamilius Membe


Mkuu hoja zako mara nyingi zilikuwa za kusaidia watu watambue wao ni nani katika nchi hii na hata maswali uliyo muuliza rais ikulu yalikuwa so powerful kuonesha wewe ni nani na unaamini katika nini
Hivi kweli moyo wako unasukumwa kwamba Lisu ametenda kosa? Au ni siasa kufurahisha watu?

Najua wewe unamatatizo ya mkono hivi aliyekusababishia huo mkono leo aseme ni uzembe tu na kuamua kuzuia hata kazi zako utaona sawa?
Hebu tuwe na ubinadamu halisi. Lisu ni jasiri by nature lakini pia lipo kusudi la Mungu kwa huyu mtu.
Itoshe tu kwamba serikali iwe makini isije kuingiza Nchi katika machafuko maana watu sasa wapi so emotional and their able to do anything. Lakini kama serikali inapaswa kutumia sana hekima katika hili.
 
Time is the best judge!. Yaani NEC iogope kumkata mtu kwasababu ni maarufu saaana!, anapendwa saaana na watu!. Wait and see!.
P
Kuwa na busara sio kuogopa ; it is a way of avoiding unnecessary bad consequences. It’s not a secret kwamba Lissu has a following in the country both from ccm and Chadema for your information!! We don’t want the country to spill more blood za wakina Mwangosi, Gwanda etc zinatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…