Uchaguzi 2020 Ushauri wa faida kwa Benard Kamilius Membe

Uchaguzi 2020 Ushauri wa faida kwa Benard Kamilius Membe

Mkuu Mahanju, najua umeutoa ushauri huu kwa nia njema. Kwa vile muamuzi wa nani ni mgombea wa pamoja wa upinzani makini, utafanyika baada ya wagombea kupitishwa na NEC and not before, kwasababu mpaka sasa hakuna hata huo uhakika kama Lissu atapitishwa, kufuatia kuvuliwa ubunge kwa kosa la kukiuka maadili ya uongozi wa umma, mtu mwenye kosa la kukiuka maadili ya uongozi wa umma, anakuwa disqualified kugombea urais, hivyo, ikitokea Lissu ni disqualified, mgombea wa pamoja wa upinzani makini ni Membe.

Kwa Bernard Membe, the time is now or never, usimchuuze at 70 ndio aje kugombea!, he would stand no chances at all!, kwasababu hata 2025, ZZK mwenyewe anaingia ulingoni!.

P

Mkuu hoja zako mara nyingi zilikuwa za kusaidia watu watambue wao ni nani katika nchi hii na hata maswali uliyo muuliza rais ikulu yalikuwa so powerful kuonesha wewe ni nani na unaamini katika nini
Hivi kweli moyo wako unasukumwa kwamba Lisu ametenda kosa? Au ni siasa kufurahisha watu?

Najua wewe unamatatizo ya mkono hivi aliyekusababishia huo mkono leo aseme ni uzembe tu na kuamua kuzuia hata kazi zako utaona sawa?
Hebu tuwe na ubinadamu halisi. Lisu ni jasiri by nature lakini pia lipo kusudi la Mungu kwa huyu mtu.
Itoshe tu kwamba serikali iwe makini isije kuingiza Nchi katika machafuko maana watu sasa wapi so emotional and their able to do anything. Lakini kama serikali inapaswa kutumia sana hekima katika hili.
 
Time is the best judge!. Yaani NEC iogope kumkata mtu kwasababu ni maarufu saaana!, anapendwa saaana na watu!. Wait and see!.
P
Kuwa na busara sio kuogopa ; it is a way of avoiding unnecessary bad consequences. It’s not a secret kwamba Lissu has a following in the country both from ccm and Chadema for your information!! We don’t want the country to spill more blood za wakina Mwangosi, Gwanda etc zinatosha.
 
Back
Top Bottom