Ushauri wa haraka,ipi ni kazi nzuri kati ya hizi??

ufumawicha

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
504
Reaction score
209
Mdogo wangu ni mwalimu katika shule ya sekondari,ameomba kazi ya Tutorial Assitant katika chuo kikuu kimoja amepata.Wadau ushauri please aendelee na ualimu wake au akaanze hiyo kazi mpya?
 
Ahahaha unaomba au unaringishia watu?? akafanye tutorial assistant nfo kuna hela
 
mm nahisi ipo haja ya kuangalia maslahi ya upande wa pili anaotaka kuenda kabla ya kuchukuwa maamuzi ya aina yoyote,ikiwa maslahi ni mazuri ni vyema akamuombe mungu la ikiwa maslahi mabaya ni afadhali kubakia hapo alipo .
 
tutorial ass ipo poa coz anaweza kujiendeleza kimasomo kiraic zaid an mashahara wake hauwez fananisha na wa ualimu.
 
Mishahara yao ni kiasi gani,mwenye kujua atujuze tafadhari maana dogo kaandikiwa kuwa ngazi yake ya mshahara ni PHTS1.Mwenye kuijua scale hiyo tafadhali atujuze
 
mishahara ni tofauti sana, Mwalimu wa degree anaeanza kazi Tsh 630000/= wakati tutoria asst 1.2 mill
 
Back
Top Bottom