ufumawicha
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 504
- 209
Mdogo wangu ni mwalimu katika shule ya sekondari,ameomba kazi ya Tutorial Assitant katika chuo kikuu kimoja amepata.Wadau ushauri please aendelee na ualimu wake au akaanze hiyo kazi mpya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Km vipi afundishe nursery kuna pesa
kama anataka kutoka afanye zote
tutorial ass ipo poa coz anaweza kujiendeleza kimasomo kiraic zaid an mashahara wake hauwez fananisha na wa ualimu.
mishahara ni tofauti sana, Mwalimu wa degree anaeanza kazi Tsh 630000/= wakati tutoria asst 1.2 millMishahara yao ni kiasi gani,mwenye kujua atujuze tafadhari maana dogo kaandikiwa kuwa ngazi yake ya mshahara ni PHTS1.Mwenye kuijua scale hiyo tafadhali atujuze