Ushauri wa haraka kuhusu simu

zote ni infinix
 
Kwa hizo mbili infinix ni nzuri zaidi. Sema kama budget inafika 280,000 tafuta Redmi 9 (na sio 9C) yenyewe ni simu nzuri zaidi.

Ipo pia Samsung A03 (na sio A3s ama A3 core) nayo inapatikana bei hizo hizo ni simu nzuri nayo.
Samahan Chief-Mkwawa kuna infinix hot 10 kuna muda inaamua tuu yenyewe inajitouch touch na kustack hadi mda mwingine kujipiga yenyewe nilijua tatizo ni protector nimeitoa lkn tatizo liko vile vile hasa kwenye joto kali hyo hali inazidi naomba Kama ulishawah kukutana na tatizo Kama hili unisaidie Mkuu.
 
Maybe touch ni mbovu mkuu
 
Hiyoo siku utakuta imesingosha
 
Chief-Mkwawa mkuu kwema,naomba ushauri wako hapa kwa matoleo ya samsung s20,s20+,s20 ultra au s21,s21+,s21 ultra ipi hapo ni nzuri zaidi
 
Shukrani sana mkuu je ikilinganishwa na matoleo ya s22 je
 
Bajeti ni isizidi tu 300k
Redmi 9 nimetafuta hapa bongo sijui hamna

Halafu kuna wapigaji pia yaani huko madukani kila mtu na bei yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kanunue samsung A3 au A3s ni nzuri zaid
 
Nimeshachukua hot 10i

Asanteni wote kwa maoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…