DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
zote ni infinixHabari za siku ndugu zangu wa JF natumai mko salama na wazima wa afya kabisa
Naombeni ushauri wa juu ya aina ya simu ambayo inaweza kufaa kusogezea siku hasa kwa wadau wa mambo haya ya teknolojia
Aina ya simu ni Xiaomi Redmi 9c vs Infinix Hot 10i
Nb ni ushauri wa haraka ndio maana nimeuweka huu uzi jukwaa la hoja mchanganyiko kwa maoni ya wengi na ya haraka zaidi
View attachment 2166834
View attachment 2166835