Kichochoro
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,135
- 1,167
Mm ni kijana wa miaka 25 nilihitimu shule ya secondary 2012 na kupata matokeo ya div iv 28 yaan kisw D.civ D.geo D. Phy D chem D hist D b/math f Biso D. Eng D na baada yakumaliza tu nilisoma corse ya umeme ya Domestric electrical installation (short corse) na baada yakumaliza nilipata kazi serikalin tofaut na nilichokisomea baada yakupata kazi serikalin mwaka juzi niliamua kulisti yaan private canditate masomo matano somo moja tu nilipata B yaan somo la kiswali nilipata B Lakin masomo mengne nilirudia matokeo ya awali....!
Sasa mwaka huu ninakuwa na wazo la kulist tena masomo manne nione kama nitapata credit asa juzi wakat nikiwa na mdau wangu mmoja akanipa ushaur kwamba niachanane nakulist nikasome phamancy....na pahamancy haipo moyon kabsa na huwa nataman sana nisome form 5$6....
Nimekuja kwenu kwa wanajukwaa wenzangu pengne ninaweza kupata njia nyingne ambayo inaweza kuwa the best kuliko hii ninayoitumia.!!!!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app