Ushauri wa haraka sana kimasomo

Ushauri wa haraka sana kimasomo

Kichochoro

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2017
Posts
1,135
Reaction score
1,167
Mm ni kijana wa miaka 25 nilihitimu shule ya secondary 2012 na kupata matokeo ya div iv 28 yaan kisw D.civ D.geo D. Phy D chem D hist D b/math f Biso D. Eng D na baada yakumaliza tu nilisoma corse ya umeme ya Domestric electrical installation (short corse) na baada yakumaliza nilipata kazi serikalin tofaut na nilichokisomea baada yakupata kazi serikalin mwaka juzi niliamua kulisti yaan private canditate masomo matano somo moja tu nilipata B yaan somo la kiswali nilipata B Lakin masomo mengne nilirudia matokeo ya awali....!

Sasa mwaka huu ninakuwa na wazo la kulist tena masomo manne nione kama nitapata credit asa juzi wakat nikiwa na mdau wangu mmoja akanipa ushaur kwamba niachanane nakulist nikasome phamancy....na pahamancy haipo moyon kabsa na huwa nataman sana nisome form 5$6....

Nimekuja kwenu kwa wanajukwaa wenzangu pengne ninaweza kupata njia nyingne ambayo inaweza kuwa the best kuliko hii ninayoitumia.!!!!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa matokeo hayo unataka ukasome advance!!! Siungi mkono
 
Kulist ndio nn mkuu?? tuanzie hapo
 
KULIST = KURISITI = KU RE-SEAT

Uwezo wako kimasomo ni mdogo hasa sayansi.... usisome kozi yoyote ya sayansi hasa hizo za afya.

Pia usirisiti, huwezi kufaulu kwa namna unavyoeleza zaidi utapoteza muda.

OPTION NZURI kwako ni kutafuta chuo uanze certificate ya kitu ambacho utakiweza..... Ukimaliza uende diploma (diploma ni sawa na form six sema wewe utakua umesoma specific course).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nimepita kote uko unakotaka kwenda tena kwa mtiririko bila kuungaunga mpka univsty na nipo apa sina mishe. Kifupi naidai elimu mpunga mrefu na muda wangu kibao yan. Cha kukushaur acha ujinga tafuta hela. Tumia akili kusak pesa na usitafute elim ije ikupe pesa. Zama zimebadilika si kila homa ni maleria. Huwez kuwa hujanielewa

Asante boss pesa siyo tatzo ila ninachotaka mm nikukuza elimu maana kama kazi ninayo tayar! Serikalin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KULIST = KURISITI = KU RE-SEAT

Uwezo wako kimasomo ni mdogo hasa sayansi.... usisome kozi yoyote ya sayansi hasa hizo za afya.

Pia usirisiti, huwezi kufaulu kwa namna unavyoeleza zaidi utapoteza muda.

OPTION NZURI kwako ni kutafuta chuo uanze certificate ya kitu ambacho utakiweza..... Ukimaliza uende diploma (diploma ni sawa na form six sema wewe utakua umesoma specific course).

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa wazo lako bos wangu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Komaa na ajira yako,piga mikopo uwekeze kwenye biashara na kilimo,huko kwingine unatafuta uchafu
 
Kwenye maelezo yako nimeuona uzembe wa Phd, serikalini ulipata kazi au kibarua [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Pole nina kazi tena yenye mpung mrefu tu namaanisha nina check no kabsa kama unaangalia maelezo endelea kuangalia maelezo mm niliomba kama ushaur tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole nina kazi tena yenye mpung mrefu tu namaanisha nina check no kabsa kama unaangalia maelezo endelea kuangalia maelezo mm niliomba kama ushaur tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kaanze certificate then diploma then umalizie na degree ya icho unachofanyia kazi....usihangaike na kurudia mtihani si kazi rahisi kurudia mtihan hasa wa form 4 fata ushauri huu sababu tayari una kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom