rafikimkweli
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 349
- 121
Na pia tunywe tungi saaana wikiendi hii .
Rubii eehha ha haaaa
Rubii eeh
Unajua hii ya thread ya mwaka gn
Njoo si tuijaze kwa kupiga mastori Bibie
Mpaka unaingia Jamiiforums tayari fedha unayo...
Bana eeh Jana umezodoaleta story sasa kumekucha
Bana eeh Jana umezodoa
Me nika subiri ure ply
Ni kaona ziiiiii
Ndo leo morning unajileta
Ulikuwa taifa? Unaangaliaga football eeh kijana mwenzanguAh jamani wewee
Nilikua kiwanja mwenzako
Kwani jf ni jukwaa la matajiri tu?
Ulikuwa taifa? Unaangaliaga football eeh kijana mwenzangu
Au basi nimestuka kumbe unamaanisha kiwanja cha kujirusha rusha
Hivi ni lini watu wataanza kutoa ushauri wa kifedha na kuacha kutoa ushauri wa maneno matupu??
Una kuta mtu anatatizo la kifedha bado wewe unampa ushauri wa maneno, halafu bado unakua hujamtatulia tatizo lake, eti mnaita ushauri nasaha, ushauri nasaha my foot, tunataka hela na si maneno matupu, maneno matupu hayavunji mfupa.
Tunataka ukiweka Bango kua unatoa ushauri nasaha make sure unatoa na ushauri wa kifedha at the same time.
Weekend njema wadau wooote wa cc.
Dumisheni ndoa zenu, kuweni makini na vilevi tukutane tena jumatatu panapo majaaliwa.
Ninaamini kweli elimu ni ufunguo wa maisha.
Unaweza kuwa na fedha lakini bila maarifa hazikusaidii na hazidumu.
Unaweza kuwa huna fedha lakini maarifa yatokanayo na ushauri yakakupa fedha za kutosha maisha yako yote.
Unajua ni kwa nini watu hawakuishambulia hii thread?
Ni kwa sababu walijua imeanzishwa na changu, juha gumegume ambaye kichwa kiko sehemu ya pili.