rafikimkweli
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 349
- 121
Hivi ni lini watu wataanza kutoa ushauri wa kifedha na kuacha kutoa ushauri wa maneno matupu??
Una kuta mtu anatatizo la kifedha bado wewe unampa ushauri wa maneno, halafu bado unakua hujamtatulia tatizo lake, eti mnaita ushauri nasaha, ushauri nasaha my foot, tunataka hela na si maneno matupu, maneno matupu hayavunji mfupa.
Tunataka ukiweka Bango kua unatoa ushauri nasaha make sure unatoa na ushauri wa kifedha at the same time.
Weekend njema wadau wooote wa cc.
Dumisheni ndoa zenu, kuweni makini na vilevi tukutane tena jumatatu panapo majaaliwa.