cashenqued
Member
- Oct 9, 2014
- 62
- 51
Kama Tanzania ya Viwanda ndo hiyo basi niseme SHIKAMOO MKUU.MKUU
ILA USISAHAU KUWA KUWA
ILI KUFIKIA TANZANIA YA VIWANDA
HATUTAKIWI KUENDEKEZA UVIVU!
SINA UHAKIKA SANA....MAY BE NLIWAHI KUSIKIA KIPIND FULAN HIVI.MKUU,
KUWA SIRIYAZI!
UNA UHAKIKA MSUMBIJI NA KONGO ATAPATIKANA MATIRIO_WAIFU
ILI MCHAKATO UANZE FASTA??
Hayo mashuka ulorundika na mijinsi kwa nini usiifue wewe na yeye akiwepo sasa, ili aone kama amepata mume bora??MKUU,
UNA UHAKIKA??
Basi uwe na mapenzi na huruma juu ya huyo mke, kwani wengependa binti yako akaishi hivo kwa mumewe? Kumbuka nae huyo ni bint wa mwanaume kama weweMKUU,
LENGO NI MKE WA NDOA,
NA SIO HAUSI_GELI.
Hakuna binadamu wa kawaida anawezakufanya kazi zote hizo kwa siku moja...Hakua mwanamke dunia hii atawezakutimiza masharti yote hayo..KUWA ROBOTI KIVIPI MKUU??
Endelea kujipa moyo ukweli uko palepale kuwa ni matesoHAKUNA KUTESANA,
BALI NI INTAVYUU TU MKUU.
Wanaume wa mikoani mna roho mbaya sana. Wangu mimi namlisha chipsi kuku avimbe makalio tu.[emoji39]
Na wewe tukupe mtihani wa jupiga goli tano bila kupunzika na usitumie dawa.
Hapo vipi?
Wanaume wa mikoani mna roho mbaya sana. Wangu mimi namlisha chipsi kuku avimbe makalio tu.[emoji39]
Kama Tanzania ya Viwanda ndo hiyo basi niseme SHIKAMOO MKUU.