Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,643
- 4,185
- Thread starter
-
- #121
SINA UHAKIKA SANA....MAY BE NLIWAHI KUSIKIA KIPIND FULAN HIVI.
Hayo mashuka ulorundika na mijinsi kwa nini usiifue wewe na yeye akiwepo sasa, ili aone kama amepata mume bora??
kwani ulitokea kny miti?km ulitoka tumboni mama yako na ukaona anavyoishi vizuri na baba yako then utafuata mfano huo...huwezi kupata Nazi chini ya mwembe I mean labda na mzazi wako alimtumikisha mama yako then utakuwa unataka kufanya hivyo hivyo....
kijana mwanamke ni pambo la nyumba na sio mtumwa badilika...!!!
Basi uwe na mapenzi na huruma juu ya huyo mke, kwani wengependa binti yako akaishi hivo kwa mumewe? Kumbuka nae huyo ni bint wa mwanaume kama wewe
Hakuna binadamu wa kawaida anawezakufanya kazi zote hizo kwa siku moja...Hakua mwanamke dunia hii atawezakutimiza masharti yote hayo..
Endelea kujipa moyo ukweli uko palepale kuwa ni mateso
upuuz wa leo,,,unatafuta mtumwa au mke???
unatafuta mchumba au house girl??
Huyu lazima utakuwa mkulya, nani kakuambia ndoa mateso, Acha mfumo kandamizo
Uzi wa kitoto wenye mfumo dume. Ni hivyo tu. Jamani kuna avatar za watu wengine hapo juu zinamwaakilisha Lucifer. Loo, zinatisha mno; khaa mbuzi si mbuzi, ng'ombe si ng'ombe. Of all avatars in the world, why pick demonic one.
asee mkuu ww bila shaka utakua mjeda maana nahic kama umejikuta eneo lenu
Kwa nilichojifunza mimi mke wa kuoa huwezi hata kumgrade kwa namna yoyote yaani wewe utaona tu imetokea katika mademu zako mmoja wao utajisikia huru sana unapokuwa nae karibu yaani ndugu si ndugu dada si dada kwenye mapenzi tu ya kugegedana mlishavuka na ukipata dharura unajikuta ulishamuambia awe anafika gheto kupachungulia pindi haupo mara siku ingine unamwambia mlale wote hadi asubuhi naye anakujibu home kwao watazingua wanaweza wakamfukuza na wewe unajikuta unamjibu watajijua wao wakikufukuza si unakuja zako huku tunaishi zetu.na na mapigo mengine kama hayo sijui kama ununanipata vizuri.Kwahiyo huyo demu unapanga kumfanyia majiribio hayo nasema kabisa tena kwa kifua mbele moyo wako wa kumuoa upo mbali naye jaribu tu kujihakikisha vizuri moyo wako upo wapi kwa 100%.
Umejikatisha tamaa mwenyewe na lists yako ya matesoTUSIKATISHANE TAMAA KWENYE MICHAKATO ENDELEVU KWA UJENZI WA TAIFA KAMA HUU MKUU!
Intavyuu haina tatizo lolote sema dhumuni la intavyuu hiyo ndo kunaukakasi kidogo je nikumpata askari aliyepitia JKT, au kumpata house girl aliyepitia mafunzo ya kikomandoo,auuu..maana katika kumpata mke naona inakataa.KWA HIYO MKUU
UNAMAANISHA HII INTAVYUU INA TATIZO LOLOTE??
sasa hizo kazi we ungeweza kuzifanya alafu kazi ya mke kwenye nyumba hayo mateso unayompa kaka c jaribio la kumpaNATAFUTA MKE,
NA SI VINGINEVYO MKUU.