Bei inao toka BOT iko chini ukiangalia na Market price ya dhahabu nje. BOT iki toa bei nzuri utakuja kuona 'Black Market' tena, labda kama una adopt command economy kama mwendazake, ambao imesha pita na wakati tuko kwenye 'free market economy' unauza pale ambapo unapata faida kubwa.Ipitishwe sheria bungeni, dhahabu yetu yote, inayochimbwa na wachimbaji wadogo na wakubwa inunuliwe na BOT, kitengo cha hazina ya Taifa. Na wao pekee ndiyo wtakaoiuza ndani na nje ya Tanzania...
Hata kama wakakuwa nayo, hizo dhahabu itakuwa mali binafsi za mafisadi waliopo madarakani.Wana hiyo pesa?
Umekata tamaa kabla hata hatujaanza. Yani umekatia tamaa kwenye wazo.Sana sana mtalalia
Chimbeni na nyie mjikusanyie ya kwenu
Ova
Dhahabu inachimbwa nyumbani kwako ila huna mamlaka nayo hii ajabu kweli.Pesa mnayo nyie
Ova
Yaani Da FaizaFoxy hili jambo jema ila ukifanya watamuua hata waziri husika. Hizi ni cartel za wezi. Kama hospital ya Appolo ilitaka kufungua hapa Tanzania hospital kama ile ya India ila inasadikika cartel za hospital zingeua hata wahusika wote kama wangepitisha. Nchi zetu za kijinga sana yaani kuna vidume wamejimilikisha utajiri wetu halafu eti kila siku tunaimba umasikini hahahaIpitishwe sheria bungeni, dhahabu yetu yote, inayochimbwa na wachimbaji wadogo na wakubwa inunuliwe na BOT, kitengo cha hazina ya Taifa. Na wao pekee ndiyo wtakaoiuza ndani na nje ya Tanzania.
Hii ni wepesi sana kuhakikisha hatukaukiwi na fedha za kigeni. Uchumi tunao, tunaukalia.
Niliwahi kuandika kuhusu dhahabu, ingawa mada nilikuwa sijaimaliza, lakini ilikuwa iishie kwenye ushauri nnaoutowa leo.
Tuna deficite national budget utakua je na reserve ya dhahabu kama kujanga simple flyover mpaka ukope hiyo reserve inakua na maana kweli? Jamani tafakari zaidi.Ni maajabu sana, yaani umasikini mpaka kwenye fuvu
Tumepiga kelele sana kuhusu hili la kuwa na Gold reserves lakini wapi
Kuna nchi hawachimbi dhahabu wala hawana kabisa kwenye ardhi zao lakini wana hazina kibao tena ni tons za dhahabu
Leo kweli sisi ni wa kulia kukosa $
Kwakweli kwa hili inasikitisha sana. Tatizo naloliona wakubwa wanawaogopa hao tuliowakodishia migodi ya dhahabu. Magufuli alitingisha kidogo nadhani akawashindwa je nani ataweza? Lakini naamini atatokea atakaeweza.Ni maajabu sana, yaani umasikini mpaka kwenye fuvu
Tumepiga kelele sana kuhusu hili la kuwa na Gold reserves lakini wapi
Kuna nchi hawachimbi dhahabu wala hawana kabisa kwenye ardhi zao lakini wana hazina kibao tena ni tons za dhahabu
Leo kweli sisi ni wa kulia kukosa $
ndo ujue sisi ni bora ya NdeziDhahabu inachimbwa nyumbani kwako ila huna mamlaka nayo hii ajabu kweli.
Naamini mleta mada amelenga, kukomesha wizi, utoroshaji na ujanjaujanja wa mauzo ya haya madini.Bei ya BOT iko chini ukiangalia Market price nje BOT iki offer bei nzuri utakuja kuona Black Market tena, labda kama una adopt command economy ambao imesha pita na wakati.
Umeshaanza mahaba na Waarabu wako.Unajuwa maana ya wanunue na wauze wao?
Kama ulikuwa huelewi hiyo ndiyo maana ya Biashara.
Bia = uza, shara = nunuwa.
Kwa Kiarabu rasmi kabisa, ambacho ndipo Kiswahili kiliilipata neno hilo.