OBD Mwenyewe
Member
- Dec 10, 2017
- 14
- 3
AsanteNi vzr, lakn nakushauri uwe na wataalam wa kuchagua wajasiriamali wenye uwezo wa kuinuka na usikubali kumkopesha mtu anayetaka kuanzisha Biashara mpya, tafuta walioanza tayar
tra watakuua vipi? wao wanacharge kodi baada ya kupata faidahuwa natamani sana kufungua microcredit ndogo tu ila nahic tra wanatiua na kodi zao. Mwenye uzoefu na kodi atupe mwanga jaman
kwa uzoefu wako mtaji ukiwa milioni kumi na tano kodi ni shngap?tra watakuua vipi? wao wanacharge kodi baada ya kupata faida
kodi haikatwii kwenye mtaji inakatwa kwenye faida.....asilimia 18 ya faida utayopata....piga mahesabu mwenyewe sasakwa uzoefu wako mtaji ukiwa milioni kumi na tano kodi ni shngap?
Mkuu gharama ni kubwa sana ila wateja wapo wengi sana. Fungua kampuni ya mfukoni usipange flem lkn make sure una lesen halafu ww mwenyew ndio unakua loan officer . Ukikopesha mmoja tu wataambiana watakutafutasasa hapo ndio shda, weka na malipo ya leseni, pango, chakula, mfanyakazi hata mmoja n.k si unajikuta unawafanyia wao kazi? Mungu mwenyewe anakula asilimia kumi wao hata zaid ya ishiriun samtymz.
Wadau wa JF naombeni ushauri nataka kuanzisha program ya kukopesha ela kwa wajasiriamali tu ili kuinuana kiuchumi. Kama unajua njia sahihi ya kuanzisha hiyo program, hasara na faida zake naomba unisaidie. Pia kwa mtu ambaye anayo hilo wazo naomba anitafute kwa no 0620463178
Mkuu ni biashara inayo lipa sana lakini wengi wao hawatambui kitu kama hicho unapatikana pande zipi?Wadau wa JF naombeni ushauri nataka kuanzisha program ya kukopesha ela kwa wajasiriamali tu ili kuinuana kiuchumi. Kama unajua njia sahihi ya kuanzisha hiyo program, hasara na faida zake naomba unisaidie. Pia kwa mtu ambaye anayo hilo wazo naomba anitafute kwa no 0620463178
Kuna njia amba ambayo unaweza tumia mkuu naomba nitext kwa whatssap namba 0628944712 tuongeehuwa natamani sana kufungua microcredit ndogo tu ila nahic tra wanatiua na kodi zao. Mwenye uzoefu na kodi atupe mwanga jaman
Nitumie meseji nmtuongee inboxNi pm Mkuu tuongee, naanzisha kitu ambacho knaweza kuwa platform nzur ya kuimarisha biashara yako
Asante naomba unitext inbox plzHabari,
1.Sajili kampuni ya micro credit -Brela
2.Pata TIN TRA
3.Pata Leseni ya kukopesha-Wizara ya viwanda na biashara
Baada ya hapo anza kukopesha na utakuwa na haki ya kumfilisi mteja anayeshindwa kurejesha mkopo.Ukifanya kienyeji utapoteza pesa zako maana wateja wengine wataacha kulipa mikopo yao wakijua huwezi kuwapeleka popote.Kwa maelekezo ya kusajili unaweza kunipm
Nitext inbox tuongeeMkuu ni biashara inayo lipa sana lakini wengi wao hawatambui kitu kama hicho unapatikana pande zipi?