Ushauri wa kuanzisha program ya mikopo(ya kukopesha wajasiriamali)

OBD Mwenyewe

Member
Joined
Dec 10, 2017
Posts
14
Reaction score
3
Wadau wa JF naombeni ushauri nataka kuanzisha program ya kukopesha ela kwa wajasiriamali tu ili kuinuana kiuchumi. Kama unajua njia sahihi ya kuanzisha hiyo program, hasara na faida zake naomba unisaidie. Pia kwa mtu ambaye anayo hilo wazo naomba anitafute kwa no 0620463178
 
Ni vzr, lakn nakushauri uwe na wataalam wa kuchagua wajasiriamali wenye uwezo wa kuinuka na usikubali kumkopesha mtu anayetaka kuanzisha Biashara mpya, tafuta walioanza tayar
 
Nahisi kitu kama hicho uwe na leseni kabisa kwani kukopesha ni rahisi lkn mkopeshwa kurudisha pesa wakati mwingine wanasumbua Sana'a mpk uweke vitisho kibao!
 
Mkuu fungua kampuni kwanza ukisema uanze kukopesha hivi hivi watu watakimbia sana na pesa zako. Tafuta Model nzuri jinsi ya kuwapata hawa bodaboda
 
huwa natamani sana kufungua microcredit ndogo tu ila nahic tra wanatiua na kodi zao. Mwenye uzoefu na kodi atupe mwanga jaman
 
sasa hapo ndio shda, weka na malipo ya leseni, pango, chakula, mfanyakazi hata mmoja n.k si unajikuta unawafanyia wao kazi? Mungu mwenyewe anakula asilimia kumi wao hata zaid ya ishiriun samtymz.
 
Mkuu gharama ni kubwa sana ila wateja wapo wengi sana. Fungua kampuni ya mfukoni usipange flem lkn make sure una lesen halafu ww mwenyew ndio unakua loan officer . Ukikopesha mmoja tu wataambiana watakutafuta
 
Wadau wa JF naombeni ushauri nataka kuanzisha program ya kukopesha ela kwa wajasiriamali tu ili kuinuana kiuchumi. Kama unajua njia sahihi ya kuanzisha hiyo program, hasara na faida zake naomba unisaidie. Pia kwa mtu ambaye anayo hilo wazo naomba anitafute kwa no 0620463178

Habari,
1.Sajili kampuni ya micro credit -Brela
2.Pata TIN TRA
3.Pata Leseni ya kukopesha-Wizara ya viwanda na biashara
Baada ya hapo anza kukopesha na utakuwa na haki ya kumfilisi mteja anayeshindwa kurejesha mkopo.Ukifanya kienyeji utapoteza pesa zako maana wateja wengine wataacha kulipa mikopo yao wakijua huwezi kuwapeleka popote.Kwa maelekezo ya kusajili unaweza kunipm
 
Mkuu ni biashara inayo lipa sana lakini wengi wao hawatambui kitu kama hicho unapatikana pande zipi?
 
huwa natamani sana kufungua microcredit ndogo tu ila nahic tra wanatiua na kodi zao. Mwenye uzoefu na kodi atupe mwanga jaman
Kuna njia amba ambayo unaweza tumia mkuu naomba nitext kwa whatssap namba 0628944712 tuongee
 
Habari,
1.Sajili kampuni ya micro credit -Brela
2.Pata TIN TRA
3.Pata Leseni ya kukopesha-Wizara ya viwanda na biashara
Baada ya hapo anza kukopesha na utakuwa na haki ya kumfilisi mteja anayeshindwa kurejesha mkopo.Ukifanya kienyeji utapoteza pesa zako maana wateja wengine wataacha kulipa mikopo yao wakijua huwezi kuwapeleka popote.Kwa maelekezo ya kusajili unaweza kunipm
Asante naomba unitext inbox plz
 
Back
Top Bottom