Ushauri wa kufungua kampuni

Ushauri wa kufungua kampuni

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
40,828
Reaction score
99,523
Habari wana jamvi,

Kama nilivyo tanguliza maombi hapo juu kuhusu kufungua kampuni ya mechanical maintenance & services.
Binafsi ni mechanical engineer na ninauzoefu wa kazi viwandani, kitambo, migodini. Tanzania na Nchi za nje pia.

Hadi kufikia sasa nimefanikiwa kukusanya vifaa vifuatavyo:-
1- Potable Welding machine 3
2- Engle Grinder 2
3- Bench Grinder 1
4- Hand Drilling machine ?
5- Revert Gun 2
6- Pensal Grinder 1
7- Chain Block Two Ton 1
8- Drill bit 2mm to 20mm
9- Ratchet Set with Box spaner from 6mm to 32mm
10- Threads Tap Male & Female from 2mm to 20mm
11- Combination Spaners from 8mm to 36mm
12- Hack Saw 2
13- Gig Saw 1
14- Grease pump 2

Vifaa vyote ni vipya na kuna baadhi sijaweza kuvitaja.

Maswali langu ni:-
Je usajili wa kampuni kama nilivyo tanguliza kutaka hapo juu unagarimu kiasi cha shilingi ngapi?
Je itanichukua muda gani hadi kukamilisha usajili?
Je kwa vifaa nilivyo viorodhesha vitatosha kuanzisha kampuni?

Nawakilisha
 
Anza kazi kusajiri ikichanganyia hatamteja mmoja huna, hiyo hela ya kusajiri anzia kazi
 
Maandalizi nimefanya ya kutosha bab-D na nimependa kufanya usajili kwasababu kuna kampuni ambazo sintoweza kupewa kazi hadi niwe nimesajiliwa, na pia napenda nisifanye kitu kwa kubahatisha mkuu.
Asante kwa ushauri wako
 
Last edited by a moderator:

Ok, umelenga kufanya kazi na makampuni,kuna kitu nafikiria baada ya kusajiri inatakiwa mafundi utakao waajiri lazima wawe na taarum (wamesomea)hiyo.
usajiri wa kampuni unategemea unasajili limited compan au business name(hapa na maanisha kampuni yoyote isiyo na neno limited nisawa na business name) kama uko dar nenda brera tsh 6000. pia kama uko mikoan tafuta mtu aliye dar akusaidie, kunajamaa humu jf alisema yeye anasaidia na unampa 40 000.kwa ajiri ya usumbufu anakushughulikia
asante
 
Kwakifupi nalenga kuitangaza kampuni baada ya usajili, na Nita ajiri mafundi wachache ambao nitashiriki nao kwa karibu ili wapate kujinoa zaidi kabla ya kuwaachia kazi wakijisimamia.
Asante kwa mchango wako mkuu.
 
Habari yako mkuu, nadhani Engineers Registration Board utakuwa unapafahamu, mkabala(opposite, kama utashidwa kufika ulizia ERB watakuelekeza) yake kuna jengo linalohusiana na usajili wa kampuni zakikandarasi kama ambayo unataka kuianzisha( specifically registaration of mechanical contractors). pale utasaidiwa zaidi kwa kupata taarifa rasmi zinazoenda na wakati. utakapokuja kuhitaji gamba la technician tunaweza tukayazungumza pia mimi ni fundi mchundo mwenye stashahada.
 
Asante Quezon
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom