Ushauri wa kukopa na kujenga

Ushauri wa kukopa na kujenga

Mshahara wako ni kiasi gani na baada ya mkopo, mabaki ya mshahara yatatosha kuihudumia familia bila usumbufu?

If yes, kopa if not usikope
Kama anakopa bank kuhusu mshahara unatosha bila shida maana calculation ya bank kuhusu marejesho ni 40% ya kipato chako maana yake kama unpata milion moja baada ya makato, utapewa mkopo ambao kwa mwezi unatakiwa urejeshe 40% ya kipato chako cha mwezi ambayo ni 400,000 ambapo hiyo milioni 10 atairudisha kwa miezi 25 ukiweka riba sijui shilingi ngapi maana yake itasogea miezi zaidi ya 25
 
Akope aimalizie halafu aipangishe yote ili umsaidie marejesho. Kumbuka usipoweza kumiliki nyumba now while working ukistaafu kwa hizi kanuni mpya za 25% take home nyumba utaiona kwa Wenzio.
Haaaa!anaambulia milioni 20.huku watoto hawana ajira na wanakuomba mtaji baba yao.
 
Mkopo wa kwa ajili ya kujenga = umasikini. Mkopo wa kwanza au kumaliza nyumba wa pili utaweka madirisha, milango na finishing ni mkopo wa 3 au ? . Zinduka kopa hela izalishe faida jengea,sio kuzika pesa.
Kweli mkuu,
Hela ya kujenga nyumba ya kuishi ni KABURI.

Hiyo ela huwa haizunguki,haizai

Na zaidi zaidi itakuongezea matumizi km ukarabati wa mifumo ya umeme&maji
 
Kama rejesho la mkopo wako ni kutoka kwenye mshahara wako na ni mtumishi wa umma usijiulize mala mbili mbili kakope malizia nyumba yako

Kama rejesho lako la mkopo ni kutokana na biashara zako my dear achana na hill wazo biashara zinakufa kila siku kwa sasa hali ya kibiashara siyo nzuri, ukitembelea tasisi za kifedha hususani mabank sana Mali nyingi za wateja wanaziuza kisa wadaiwa wamekosa kufanya marejesho


Nyumba ni kitu cha kudumu, biashara zipo tu madau ukijenga leo utaabika mda mfupi kisha utatafuta pesa ya biashara ukiwa tayali unakwako
Mawazo ya kimaskini haya.
 
Mfano nimepanga kila mwezi kodi 200,000 salary take home haifiki 600k. Je nikikopa na kujenga then 200,000 ya kodi iwe inalipa loan badala ya kupanga nalo ni kosa.
Kwa salary isiyozidi 600k, nna imani huwez pata mkopo zaidi ya 20mil.

Swali sasa.
Je, Una uhakika kama hiyo 20mil itakuwezesha kuanza na kumaliza ujenzi wa nyumba yako ya kuishi?

Hapo ndo unatakiwa sasa kutafakari maamuzi yako mkuu.
 
Hakikisha kama unataka kuchukua mkopo juu ya mkopo ,huo mkopo wa sasa utaweza kumaliza nyumba ili uweze kuhamia.kama utakopa halafu hakuna unafuu unaosababishwa na huo mkopo zen hapo utakuwa umeongeza ugumi wa maisha.ila kama utakopa.halafu itakuwezesha kuhamia kwako halafu uendelee kufanya marejesho
 
Tafadhali rejea hapo juu nataka kukopa kama milioni 10 nimalizie NYUMBA niliyoianza kuijenga mwaka Jana Kwa mkopo mwingine kwa sasa nikipata hiyo m10 nitamaliza bati NA MADIRISHA
YOU WANT TO DO RIGHT THING IN WRONG TIMING...
 
Tafadhali rejea hapo juu nataka kukopa kama milioni 10 nimalizie NYUMBA niliyoianza kuijenga mwaka Jana Kwa mkopo mwingine kwa sasa nikipata hiyo m10 nitamaliza bati NA MADIRISHA
Kama ni Muajiriwa wa Serikalini na unahitaj mkopo nitafute mkuu.. Platinum Credit Limited ndio jibu, mkopo bila dhamana yoyote. Nichek 0686080555 au tembelea website yetu ya www.platinumcredit.co.tz
 
Back
Top Bottom