UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,399
- 1,014
Tafadhali rejea hapo juu nataka kukopa kama milioni 10 nimalizie NYUMBA niliyoianza kuijenga mwaka Jana Kwa mkopo mwingine kwa sasa nikipata hiyo m10 nitamaliza bati NA MADIRISHA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapokopa ni lazima uwe na source nyingine mbadala ya uhakika wa kuweza kulipa deni. Bila shaka hiyo unayo, iwapo unataka kutegemea nyumba hiyo unayoijenga kama kitega uchumi cha kurudisha yenyewe deni lake angalia kwa makini lengo hilo kutokana na location ya nyumba ilipo (Kwa kupangisha) na gharama yake kimaslahi. Vile vile iwapo unataka kumaliza nyumba hiyo ili uishi mwenyewe ni vyema iwapo kama utakuwa unasave kiasi kikubwa cha pesa ambacho ulikuwa ukilipa kama kodi na kuihamishia benki kulipa deni ( Hii inategemeana na Kiasi cha Marejesho utakachopangiwa). Muhimu ni kuwa makini na malengo yako yasije kukutumbukiza kwenye deni kubwa litakalokugharimu maradufu. Na pia kutumia pesa hiyo kwa malengo kusudiwa. All the best!Tafadhali rejea hapo juu nataka kukopa kama milioni 10 nimalizie NYUMBA niliyoianza kuijenga mwaka Jana Kwa mkopo mwingine kwa sasa nikipata hiyo m10 nitamaliza bati NA MADIRISHA
Ni wazo zuri, wasiliana na TUJENGE utapata ushirikiano nzuri na kufanikisha kumalizia nyumba yakoTafadhali rejea hapo juu nataka kukopa kama milioni 10 nimalizie NYUMBA niliyoianza kuijenga mwaka Jana Kwa mkopo mwingine kwa sasa nikipata hiyo m10 nitamaliza bati NA MADIRISHA
Worthwhile adviceKopa malizia uhamie au upangishe hakikisha kiasi utakachokopa kitamaliza nyumba yako
Other things being constant.mkuu dhamira kuu ya mkopo ni kuwekeza kwenyevitu virudishavyo hela. usiweke hela kwenye liability utaumia sana ka mkuu mmoja amesema unaingia kwenye dept trap.
Pata mkopo wekeza katika biashara ambayo unaona inaredesha then pata hela toka kwenyebiashara then jenga taratibu pasipo presha na maumivu makali, ila kama unabiashara nyingine inakuingizia vizuri unaweza chukua huo mkopo bila shida ila ka huna fanya kutathimini sana ila sikuzote usichukue mkopo kwaajili ya liability mkuu.
Mwenzio anakwambia akope amalizie milango na madirisha, sio amalizie nyumbaUnapokopa ni lazima uwe na source nyingine mbadala ya uhakika wa kuweza kulipa deni. Bila shaka hiyo unayo, iwapo unataka kutegemea nyumba hiyo unayoijenga kama kitega uchumi cha kurudisha yenyewe deni lake angalia kwa makini lengo hilo kutokana na location ya nyumba ilipo (Kwa kupangisha) na gharama yake kimaslahi. Vile vile iwapo unataka kumaliza nyumba hiyo ili uishi mwenyewe ni vyema iwapo kama utakuwa unasave kiasi kikubwa cha pesa ambacho ulikuwa ukilipa kama kodi na kuihamishia benki kulipa deni ( Hii inategemeana na Kiasi cha Marejesho utakachopangiwa). Muhimu ni kuwa makini na malengo yako yasije kukutumbukiza kwenye deni kubwa litakalokugharimu maradufu. Na pia kutumia pesa hiyo kwa malengo kusudiwa. All the best!
Akope aimalizie halafu aipangishe yote ili umsaidie marejesho. Kumbuka usipoweza kumiliki nyumba now while working ukistaafu kwa hizi kanuni mpya za 25% take home nyumba utaiona kwa Wenzio.Kopa malizia uhamie au upangishe hakikisha kiasi utakachokopa kitamaliza nyumba yako
Kwani akipangisha analipwa mavu.... ? Nachomanisha ni kuwa waweza jenga nyumba ukawa mbali nayo kwa sababu ya uhamisho ukapangisha ili ikupunguzie mzigo wa makato ya mkopo au ukiishi mwenyewe maana yake umeepukana na kodi ya kila mwezi.Akope aimalizie halafu aipangishe yote ili umsaidie marejesho. Kumbuka usipoweza kumiliki nyumba now while working ukistaafu kwa hizi kanuni mpya za 25% take home nyumba utaiona kwa Wenzio.