okiwira
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,459
- 3,842
Huwezi shindana na tundu linalofyatua mafuvu ya kila Aina.
Kimapana na kimarefu huwezi.
Tafuta pesa kula mlo Safi(IKIWEZEKANA WA ASILI) fanya mazoezi jipende penda familia yako (KAMA UNAYO)ishi kwa furaha.
Vibamia ni neno la kuwadhoofisha vijana kifikra wasijikubali walazimishe kidole kizame katika tundu la sindano.