FATHER JOKA
Member
- Jan 4, 2019
- 8
- 7
Nataka kuanza kufuga kuku wa mayai na nataka kujenga banda. Naomba ushauri mambo mhimu ya kuzingatia ili nisiingie chaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
safi mm nina idea kama yako nitaanz mwez wa nane ww vip unaleng kufk wangp wwNataka kuanza kufuga kuku wa mayai na nataka kujenga banda. Naomba ushauri mambo mhimu ya kuzingatia ili nisiingie chaka.