The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Toka lini mlo wa mara moja kwa mwaka ukawa ni mjadala. Tutakula, tutakunywa hadi kusaza. Kesho yake tunaingia shambani kulima matuta ya viazi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣“Watu wanaenda Krismasi na nyie wote mlioko hapa mnaenda Krismasi, wapo wa Moshi, wapo wa Arusha, wapo wa Mbeya, wapo wa Iringa na wengine Songea nyumbani kwetu, ulaji utakuwa wa kupitiliza, ulaji wa nyama utaongezeka, vinywaji vya kupitiliza kila kitu kitakuwa cha kupitiliza , wapo ambao wakirudi Januari wanaweza kurudi sawa kwa lugha za waandishi kurest lakini salamu zangu za Krismasi kuzingatia ulaji.”
Prof. Mohamed Janabi
View attachment 3175090
Ukiripoti kutoka katika keyboard ya Simu Yako Dar es SalaamLabda wa huko kwenu dasalamu ila huku kwetu ngopyolo unapiga msosi wa kutosha na asubuh unawahi kubeba magogo ya kuchochea mabani ya tumbaku kitambi kitatoka wapi!
Tumtafute yule mchungaji wa Kenya aitwaye Mackenzie atupige mfungo then tukipigwa na njaa hamu ya msosi itarudi.Kila mtu na afanye aonavyo ni sahihi kwake, mbuzi zichomwe, ka mbege, na machalari niache kula kisa utaratibu wake, Tena issue yenyw siku kadhaa au wiki tuu.......
Ila siku hz nimeacha kula vitu vingi nisaidieni ndugu zanguni nirudi kwenye ufakamiaji
secretarybird nipe dawa siku hz vyakula vingi sili mpaka mama anasema khaa ni wewe au 😂
Nikienda ugenini naona kuwapa watu taabu ya kuwaambia sitaki msosi
Sifanyi hiyo kazi ya wachungaji uchwara 😂Tumtafute yule mchungaji wa Kenya aitwaye Mackenzie atupige mfungo then tukipigwa na njaa hamu ya msosi itarudi.
Kumbuka tuko kwenye harakati za kutafuta hamu ya Kula kabla krismas haijawadia.Sifanyi hiyo kazi ya wachungaji uchwara 😂
Huyu dingi wakati mwingine anazingua sana.Toka lini mlo wa mara moja kwa mwaka ukawa ni mjadala. Tutakula, tutakunywa hadi kusaza. Kesho yake tunaingia shambani kulima matuta ya viazi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣