MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Anazingua kweli mkuu. Mlo mmoja wa mwaka nao tusile aaah hapana hapana. 🤣🤣🤣🤣Huyu dingi wakati mwingine anazingua sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anazingua kweli mkuu. Mlo mmoja wa mwaka nao tusile aaah hapana hapana. 🤣🤣🤣🤣Huyu dingi wakati mwingine anazingua sana.
Propsesa kadata.🤣🤣🤣Aaah; prof siku 1? Yaani siku 1 tu ndio ilete shida..., hapana kaka, tuache tujipe pole ya mwaka mzima
😂😂Ndo inakuwaje hiyoNi kula na kunywa kupitiliza full kuvimbiwa, nimeshaandaa fagio za kutosha wanangu wakivimbiwa ni mwendo wa kufyagia matumbo
Kwa hili, hatukubaliani na professor; tuna muheshimu, tunampenda lakini kwa habari ya siku hi ya mwisho wa mwaka, HAPANAPropsesa kadata.🤣🤣🤣
Hatimaye imefika😅😅Yaani hiyo siku kuu naisubiri kwa hamu na gamu mkuu. Hata kama chakula hakishuki nitakilazimisha.