MGOGOHALISI JF-Expert Member Joined Apr 16, 2011 Posts 3,294 Reaction score 4,920 Dec 12, 2024 #41 City Of Lies said: Huyu dingi wakati mwingine anazingua sana. Click to expand... Anazingua kweli mkuu. Mlo mmoja wa mwaka nao tusile aaah hapana hapana. 🤣🤣🤣🤣
City Of Lies said: Huyu dingi wakati mwingine anazingua sana. Click to expand... Anazingua kweli mkuu. Mlo mmoja wa mwaka nao tusile aaah hapana hapana. 🤣🤣🤣🤣
MGOGOHALISI JF-Expert Member Joined Apr 16, 2011 Posts 3,294 Reaction score 4,920 Dec 12, 2024 #42 Makwizi Band said: Aaah; prof siku 1? Yaani siku 1 tu ndio ilete shida..., hapana kaka, tuache tujipe pole ya mwaka mzima Click to expand... Propsesa kadata.🤣🤣🤣
Makwizi Band said: Aaah; prof siku 1? Yaani siku 1 tu ndio ilete shida..., hapana kaka, tuache tujipe pole ya mwaka mzima Click to expand... Propsesa kadata.🤣🤣🤣
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 19,041 Reaction score 46,239 Dec 12, 2024 #43 leo dada said: Ni kula na kunywa kupitiliza full kuvimbiwa, nimeshaandaa fagio za kutosha wanangu wakivimbiwa ni mwendo wa kufyagia matumbo Click to expand... 😂😂Ndo inakuwaje hiyo
leo dada said: Ni kula na kunywa kupitiliza full kuvimbiwa, nimeshaandaa fagio za kutosha wanangu wakivimbiwa ni mwendo wa kufyagia matumbo Click to expand... 😂😂Ndo inakuwaje hiyo
M Makwizi Band JF-Expert Member Joined Aug 19, 2024 Posts 1,535 Reaction score 2,565 Dec 12, 2024 #44 MGOGOHALISI said: Propsesa kadata.🤣🤣🤣 Click to expand... Kwa hili, hatukubaliani na professor; tuna muheshimu, tunampenda lakini kwa habari ya siku hi ya mwisho wa mwaka, HAPANA
MGOGOHALISI said: Propsesa kadata.🤣🤣🤣 Click to expand... Kwa hili, hatukubaliani na professor; tuna muheshimu, tunampenda lakini kwa habari ya siku hi ya mwisho wa mwaka, HAPANA
Missy Gf JF-Expert Member Joined Oct 30, 2022 Posts 5,441 Reaction score 15,201 Dec 12, 2024 #45 December hamna diet...asitupangie
The Watchman JF-Expert Member Joined Nov 7, 2023 Posts 896 Reaction score 1,427 Dec 25, 2024 Thread starter #46 secretarybird said: Yaani hiyo siku kuu naisubiri kwa hamu na gamu mkuu. Hata kama chakula hakishuki nitakilazimisha. Click to expand... Hatimaye imefika😅😅
secretarybird said: Yaani hiyo siku kuu naisubiri kwa hamu na gamu mkuu. Hata kama chakula hakishuki nitakilazimisha. Click to expand... Hatimaye imefika😅😅