Wiki 4 tu zilikuwa zinakutosha kabisa mwili kuzoe na kukubaliana na mfumo mpya wa ulaji.Yaani mimi mwenyewe najiuliza,km hili zoezi nimelifanya kwa Wiki moja na hali iliyonikuta ndio hiyo;Sasa je,ikiwa kwa Mwaka si Afya inazorota kabisa?!!!.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app