Naunga mkono hoja.Mimi nashauri uchaguzi wa serikali za mitaa usogezwe mpaka mwaka kesho na sheria ziwekwe vizuri. Wataalamu wengi wanasingizia muda wakati huo huo wanasema sheria zinahitaji kubadilishwa. Hivyo hakuna sababu ya kwenda kwenye uchaguzi ambao kwa ulivyo sasa utashusha na kupunguza uaminifu wa hata uchaguzi wa mwakani. Ingekuwa rahisi zaidi kama chaguzi za serikalli za mitaa na uchaguzi mkuu kuchanganywa. Nashauri kwa nia nzuri maana bila hivyo kuanzia mwisho wa uchaguzi huu ambao kwa sheria hizi utalalamikiwa kama ule uliopita tu.
View: https://youtu.be/tYSTG-AWM6c?si=ud79KrOFT3HiefHh
Naunga Mkono hoja!.Mimi nashauri uchaguzi wa serikali za mitaa usogezwe mpaka mwaka kesho na sheria ziwekwe vizuri. Wataalamu wengi wanasingizia muda wakati huo huo wanasema sheria zinahitaji kubadilishwa. Hivyo hakuna sababu ya kwenda kwenye uchaguzi ambao kwa ulivyo sasa utashusha na kupunguza uaminifu wa hata uchaguzi wa mwakani. Ingekuwa rahisi zaidi kama chaguzi za serikalli za mitaa na uchaguzi mkuu kuchanganywa. Nashauri kwa nia nzuri maana bila hivyo kuanzia mwisho wa uchaguzi huu ambao kwa sheria hizi utalalamikiwa kama ule uliopita tu.
Naunga Mkono hoja!.
Nimetoa hoja kama hii mara mbili, Mnaonaje Uchaguzi wa Serikali za Mtaa Ufanywe Siku Moja na Uchaguzi Mkuu na Usimamiwe na Tume Huru ya Uchaguzi? Samia Atabarikiwa Sana! kisha
Mabadiliko ya Sheria ya Uchaguzi: Je Tupige Ndege Wawili kwa Jiwe Moja kwa Uchaguzi Serikali za Mitaa/Mkuu, Ufanyike Siku Moja au Tuendeleze Mazoea?
Na sikuishia kuandika tuu jf, bali nimendikia makala
View attachment 2987132
Na kuisema wazi kwenye mikutano ya mapendekezo!.
View: https://youtu.be/3a4SjkV46JY?si=xTaadxXIHp2ExGXB
P