Ushauri wa talaka kwa wanawake ............

haya mambo yanaonesha jinsi tulivyo stll 'backward na primitive'
kijamii................
ni sawa na mauaji ya albino tu......
 

sure,unachosema kimenikuta,wazaz walitengana while i waz 10yrz halafu i had 2 youngbroz!it waz sad lyf hadi leo naish independent lakin kutengana kwa my parents ni mtian 2 me n my litle youngbroz
 
Nachoongelea kuwa hakipo ni kuishi kama partners; najua talaka kwa baadhi ya dini ni ruksa.
Yah ni rahisi sanasana as for wakristo ni ngumu , hata ukiachana na mume au mke unaonekana utakufa na dhambi hiyo tu, coz kitabu kinasema msiachane mpaka kifo
 
Anakuweka akiba (amekupa suspension) mambo yake yakienda ndivyo sivyo anakurudia.

suspension wakati mtu damu inachemka?
wewe umemtelekeza na yeye nani anamtuliza hamu????
si ujinga tu huu????bora muachane huku bado mnazungumza vizuri...
 
Kabla sijawa influenced by position ya Ashadii, na Bishanga hajapandisha outrage, najibu kwanza alafu ndio nirudi kusoma wengine walivo sema. Samahani kama nitarudia maneno ya wengine...

This said, I support divorce as a way to solve a bad marriage. I also support free unions where you don't need to bring the church, the state or even your relative into your personnal love matters... just wewe na mume wako, na watoto have the right to say something about your relationship...
 
Unaona; some people are meant to be together forever.

Watu wa hivyo hata wakitengana wanachanganyikiwa fulani.

Huyu sister nae atarudiana na mumewe tu, coz analalamika hakuna mwanaume anaeweza kumfikisha kama x wake
 

mume mwenyewe ndo hakua na msimamo!
 
Mbavu zangu; lol. Mwanamke kufikishwa; ukishindwa kumtimizia mkeo hilo, sasa wewe ni mume au just friend. ( with exception kwa wale waliopata magonjwa baada ya ndoa)


Sasa kwani unakuwa na mume au mke ufanyaje? uzae watoto au mjenge nyumba? kufikishana ndio mpango wote kwanza mengine yanafata
 
Sasa kwani unakuwa na mume au mke ufanyaje? uzae watoto au mjenge nyumba? kufikishana ndio mpango wote kwanza mengine yanafata

yeah umenena na ugomvi mkubwa huanzia hapa ila mengineyo huwa kama kusindikiza... maana mmoja akiwa na stress hakuna la maana litakalofanyika zaidi ya kusumbuana tu
 
Ni kweli couples ambazo ni perfect in bed ni ngumu kukwaruzana; tatizo ni pale mambo yanapopungua kiwango; mara nyingi sababu ya mmoja au wote kugawa nje.


Na kukitokea ugomvi wanandoa hawawezi kuzungumzia undani wa tatizo kwani ni noma; wanaongelea mambo mengine na si kiini cha tatizo.

yeah umenena na ugomvi mkubwa huanzia hapa ila mengineyo huwa kama kusindikiza... maana mmoja akiwa na stress hakuna la maana litakalofanyika zaidi ya kusumbuana tu
 

mara nyingi wanandoa huwa hawawezi kuongelea kiini cha tatizo kwani mara nyingi tatizo linaweza likawa limesababishwa na wote wawili , hivyo taratibu kila mmoja anamuona mwenzake ni tatizo na hadi kufikia kutokuwa na furaha na uwepo wa mwenzake .. na hata kufikia kitandani kufanya mradi anajua ni haki ya kumpa mwenzake lakini hakuna zaidi ya kutimiza majukumu .. hivyo hawafikishani na mhanga mkubwa wa hili taqtizo ni mwanamke huwa hafikishwi na hii inatokana na stress alizonazo sie wanaume kazi yetu kupanda kama unapanda farasi au punda na mradi utue mzigo
 
na wanandoa wengi wanashindwa kutumia vitanda vyao kusolve matatizo yao, mpaka wanafikia talaka, kwa kweli inasikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…