Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
But what I want ot say; divorce si kitu kizuri hata kidogo. Kuwa na wazazi ambao wako separate kunafanya mtoto ku feel homeless. Hakuna nyumba iliyokamili wakati mama anaishi kibaha baba mlandizi; watoto wanapata tabu sana kisaikolojia.
Nakumbuka mimi na mdogo wangu tulianza kuwa blame ndugu zetu wakubwa kuwa walikuwa wanapiga debe baba na mama watengane kwa kuwa wao walikuwa wameshakua na maisha yao; tulioteseka ni mimi na mdogo wangu.
I would rather share a house with my hubby than making my sons move from one house to another visiting their parents. That is the sacrifice I am ready to make.
Yah ni rahisi sanasana as for wakristo ni ngumu , hata ukiachana na mume au mke unaonekana utakufa na dhambi hiyo tu, coz kitabu kinasema msiachane mpaka kifoNachoongelea kuwa hakipo ni kuishi kama partners; najua talaka kwa baadhi ya dini ni ruksa.
Anakuweka akiba (amekupa suspension) mambo yake yakienda ndivyo sivyo anakurudia.
haya mambo yanaonesha jinsi tulivyo stll 'backward na primitive'
kijamii................
ni sawa na mauaji ya albino tu......
Kila mara wanaume tunapojadili masuala ta ndoa na matatizo yake..
ni kawaida mno kwa wanaume kutaja TALAKA kama moja ya suluhisho
1.kwa nini talaka inaonekana jambo baya mno kwenye jamii yetu
hasa kwa kina mama......kiasi kwamba 'the price' ya baadhi ya ndoa
ili ziendele ni kubwa mno ,hata kusababisha magonjwa na vifo...
Sababu talaka ni alama ya "failure" kwa baadhi ya jamii zetu.
2. kwa nini wanawake wanachukulia 'talaka' ni kosa la mwanamke
hata kama wameenda shule na wana exposure ya kutosha...
Sababu wengi wanadefine kua na uhusiano mzuri na mume wako, na a stable family kama "mafanikio" yao.
3.kama ubaya wa talaka ni mali na watoto kuteseka...
hivi hatuoni kuwa watoto wanateseka zaidi kwenye 'ndoa yenye kisirani'
kuliko wazazi wakiwa wameachana?????
Sio kweli, ndani ya nyumba wazazi wanaweza kua na uhusiano wa kawaida mbele ya watoto, hata kama ndani mambo yameharibika. Na hasa kama mama hana uwezo, anaamini so long as mume anakaa na watoto hawezi kusahau kutoa posho, jambo ambalo sio so certain kama watakaa nyumba tofauti.
4..kama ishu ni mali mlizotafuta pamoja,je hili halijadiliki????
Wanaume wengi wanataka wachukue mali yote wakati wa kuachana na wachague wenyewe mwanamke anachukua nini, claiming they bought it kwa pesa yao. wanacho sahau ni kwamba mama alipo kua anabaki nyumbani na kulea watoto, kupika, kufua na kuwatembelea familia, alikua anajenga environment nzuri kwa mwanaume kutafuta hela, na as such walitumikia mali wote kwa kiwango sawa tu.
5..Hivi ni ngumu saana kwa watu kuachana kwa wema?????
bila kuongezeana maumivu ya maisha?????
There is no easy way to break somebody's heart... Kuachana ni kuachana tu, hakuna kuachana bila kuumia, ingawa unaweza kumeza maumivu.
6.Hivi watu wanajua hasara za kiafya za 'ndoa mgogoro'
zinavyoweza kumdhuru mtu??????????
kila wakati kuna tumaini kua mgogoro ni wa muda tu ila kesho itakua better.... untill it is too late. Sio rahisi kukubali kua mmeshindwa kabisa.
Huyu sister nae atarudiana na mumewe tu, coz analalamika hakuna mwanaume anaeweza kumfikisha kama x wake
Haya mambo nyie acheni; kuna baba mmoja (anatoka mkoa mmoja na baba hence was close family friend) alitengana na mkewe.
Kisa wife alikuwa mapepe; mume alikuwa anasafiri sana (pilot) sasa akisafiri mwanamke analala nje. Kuna siku safari ikahairishwa; baba karudi home wife hola.
Wife anarudi home asubuhi anaambiwa baba alikuwepo ameenda kazini;
Mke kafunga virago kajipa talaka mwenyewe.
Mwanaume katafuta mke mwingine kaoa; kumbe mapenzi yake yote bado yako kwa previous wife.
Huwezi amini huyu baba alimgeuza ex wife wake kimada. Ex wife wake alikuwa anakaa karibu na mama yangu hivyo huyo mzee alikuwa analala pale kila mtu anajua.
So sad mbaba keshakufa na HIV after several years of divorce; sijuhi kama walikuwa nao before divorce au uzinzi waliouendeleza ndo umewaponza. Mama anaendelea kusambaza maana ana mvuto wa hajabu.
Ndio hivo sasa, mume ngumi mkononi, ila kumpenda mke anampendaUnaona; some people are meant to be together forever.
Watu wa hivyo hata wakitengana wanachanganyikiwa fulani.
suspension wakati mtu damu inachemka?
wewe umemtelekeza na yeye nani anamtuliza hamu????
si ujinga tu huu????bora muachane huku bado mnazungumza vizuri...
Sasa kwani unakuwa na mume au mke ufanyaje? uzae watoto au mjenge nyumba? kufikishana ndio mpango wote kwanza mengine yanafataforever kwa ajili ya kufikishwa?
women bana ...lol..........
Ndio hivo sasa, mume ngumi mkononi, ila kumpenda mke anampenda
Umepaona eeeeepatamu hapo!
Sasa kwani unakuwa na mume au mke ufanyaje? uzae watoto au mjenge nyumba? kufikishana ndio mpango wote kwanza mengine yanafata
Sasa kwani unakuwa na mume au mke ufanyaje? uzae watoto au mjenge nyumba? kufikishana ndio mpango wote kwanza mengine yanafata
yeah umenena na ugomvi mkubwa huanzia hapa ila mengineyo huwa kama kusindikiza... maana mmoja akiwa na stress hakuna la maana litakalofanyika zaidi ya kusumbuana tu
Ni kweli couples ambazo ni perfect in bed ni ngumu kukwaruzana; tatizo ni pale mambo yanapopungua kiwango; mara nyingi sababu ya mmoja au wote kugawa nje.
Na kukitokea ugomvi wanandoa hawawezi kuzungumzia undani wa tatizo kwani ni noma; wanaongelea mambo mengine na si kiini cha tatizo.
na wanandoa wengi wanashindwa kutumia vitanda vyao kusolve matatizo yao, mpaka wanafikia talaka, kwa kweli inasikitisha sanamara nyingi wanandoa huwa hawawezi kuongelea kiini cha tatizo kwani mara nyingi tatizo linaweza likawa limesababishwa na wote wawili , hivyo taratibu kila mmoja anamuona mwenzake ni tatizo na hadi kufikia kutokuwa na furaha na uwepo wa mwenzake .. na hata kufikia kitandani kufanya mradi anajua ni haki ya kumpa mwenzake lakini hakuna zaidi ya kutimiza majukumu .. hivyo hawafikishani na mhanga mkubwa wa hili taqtizo ni mwanamke huwa hafikishwi na hii inatokana na stress alizonazo sie wanaume kazi yetu kupanda kama unapanda farasi au punda na mradi utue mzigo