Ushauri wa talaka kwa wanawake ............

Ushauri wa talaka kwa wanawake ............

True love is blind. But when you start calculating how you are gonna divide your property after divorce; jinsi gani mtafanya mkiachana; hapo hakuna blindness na nachelea kusema hata hiyo ndoa haija base kwenye love at first place. Yaani jamaa anapropose afu mnakaa kudiscuss divorce na mgawanyo wa mali; hiyo itakuwa ndoa ya love au business? Sishangai maana nasikia watu siku hizi wanaoana kisanii

Sheria zinapokuwa wazi hakuna haja ya kukaa na mwanamme mkaanza kudiscuss hiyo kitu.

Kama alivyokuja mmoja na kutupa mtazamo wa sheria za Kiislam kwenye hilo, tunataka na sheria za nchi ziwe wazi kwenye suala hili mapema. Iwapo jamii itaelewa kuwa mwanamke ana haki ya kuwa na mali binafsi (sawa na mwanamme), sidhani kama kutakuwa na haja ya watu kukaa na kujadiliana.
 
Kama mume ana run family business unataka amuandike mke kuwa ni mrithi wa mali ya familia yao? Hata hivyo hiyo ni extreme and exceptional case.

sio ndoa zote watu wanakutana college na kuchumbiana
kuna ndoa zingine mtu anaongoza kampuni ya familia yenye ndugu kibao
wewe mwanamke unaolewa,akifa ghafla huyo mtu?unajua haki zako ziko vipi?
ndugu wakikwambia huna chako?
sipendi hiyo hali imkute dada yangu wala ndugu yangu wa kike yeyote
so ni bora hayo mambo yajadiliwe mapema,ikiwezekana kwenye maandishi na mwanasheria juu...
unasema mali ni za watoto,je usipopata hao watoto je???ndo huna haki?????
 
Halafu hii isea ya tru love mngeiacha kwenye filam na maigizo ya tv....

true love is a myth.......umewahi jiuliza why hakuna anaekwenda kuoa/kuolewa na omba omba????/

all marriage are based kwenye convinience aisee....
 
Kama umekubali kuwa ndoa nyingi si za love hapo endeleeni na mjadala; all said is true then.
"Mume si nduguyako; usiwe mjinga invest kwenu" and the like, are the discourses that justifies kuwa ndoa si love ni convenience.

Halafu hii isea ya tru love mngeiacha kwenye filam na maigizo ya tv....

true love is a myth.......umewahi jiuliza why hakuna anaekwenda kuoa/kuolewa na omba omba????/

all marriage are based kwenye convinience aisee....
 
Kama mume ana run family business unataka amuandike mke kuwa ni mrithi wa mali ya familia yao? Hata hivyo hiyo ni extreme and exceptional case.

hujanielewa nilichosema kila mtu chake kijulikane mapema...
ndani ya hizo mali za familia,ijulikane ya huyo mume ni ipi, za ndugu zake ni zipi?
na atakayo rithi mke ni ipi???? ni swala la kuondoa 'kujifanya' hamtazami mali
mali zijulikane mgawanyo wake mapemaaa
 
G...leo unanishika pabaya! hapa na ukabila unaingia (mchaga yule)...inackitisha sana, mie cfanyi haya kwa kuhofia huko mbeleni cjui mali zake au cjui migogoro ya familia baadae coz ya mali, nafanya kivyangu, kashamba ka urithi nako nikabadili kawe mr&mrs?....ka trekta ka kulimia huko kjjn nako ukaandike mr&mrs? kuna mambo ya ajabu sana kwenye hii jamii ye2, ukifatilia kila nucta umekwisha, watu tumeolewa na jamii na sio mume wako.

Haswaa! Hivi nimeachiwa urithi nikabadilishe niiute wetu? Shamba au nyumba ambayo najenga kwa ajili ya mama yangu pia niite ya Mr and Mrs?

Sio kama tunahofia talaka na migogoro tu siku za usoni, lakini pia kama binaadamu una ile haki/ drive ya kutaka kuwa na kitu kitachoonyesha nguvu zako. Kama mume ana pesa za kutosha, wewe vijisenti vyako ukanunulia kijishamba cha kumsaidia mama mboga tu, ukikiandikisha cha Mr and Mrs hata ile raha ya kuwa umempa kitu mama yako inapotea.

Hayo mapenzi na tuambiwe hayapo tu, lakini kujiridhisha mwenyewe ni muhimu mno katika dunia hii ilojaa vurumai
 
Kama umekubali kuwa ndoa nyingi si za love hapo endeleeni na mjadala; all said is true then.
"Mume si nduguyako; usiwe mjinga invest kwenu" and the like, are the discourses that justifies kuwa ndoa si love ni convenience.

unarudi kwenye mjadala mwingine kabisa..
what is true love?????
ngumi,mateke na matusi mbele ya watoto ni true love???????/
 
unarudi kwenye mjadala mwingine kabisa..
what is true love?????
ngumi,mateke na matusi mbele ya watoto ni true love???????/

Kuna suala la kufa pia. Hata kama ndoa ni true love na msipokuwa pamoja mnaanguka chini na kuzimia, kuna possibility ya mmoja wenu kufa. Sasa ili usimuache mwenzio kwenye matatizo ni bora kuandika mali wazi na mpango mzima wa mirathi ujuulikane mapema (kama tutafuata sheria za serikali, za kimila, au kidini au will itakayoandikwa)

Kuna suala la mwenzio kubadilika. Hata kama wewe una true love na unampenda kuliko chochote duniani hakuna guarantee kuwa yeye ataendelea kuwa hivyo maisha yote. Ili kuwa in the safe side kwako na watoto wako, sheria za mirathi zitakazo husika ni vizuri kujuulikana mapema.
 
That is where we differ. Mimi nina roho ya kitajiri sana na mali wala hazinichukulii muda hata kidogo. What if I die?
Nadhani nimerithi hii roho kwa mama yangu; hata mahakama ilipoamua kuwa mama apewe half a share ya mali walizochuma na baba mama hakuwahi kufuatilia tena huo mgawanyo.

Nakumbuka kuna mama jirani alifariki nikiwa primary; ndugu za huyo mama walikuja kumyang'anya mumewe Prado ya dada yao kwa kuwa walijua dada yao aliinunua alipokwenda kutibiwa kansa nje. It was gumzo.

hujanielewa nilichosema kila mtu chake kijulikane mapema...
ndani ya hizo mali za familia,ijulikane ya huyo mume ni ipi, za ndugu zake ni zipi?
na atakayo rithi mke ni ipi???? ni swala la kuondoa 'kujifanya' hamtazami mali
mali zijulikane mgawanyo wake mapemaaa
 
Kwa wenye busara, talaka haitakiwi kuwa entertained hata kidogo.
Talaka ni last option kama mbinu zote za kusolve tatizo zimeshindikana.
 
Boss Boss Boss unamix vitu hapa.

Tunaongelea kuanza kujadili mali na divorce soon after au before marriage. Sasa hayo maswala ya ngumi yanatoka wapi kwa wanandoa wapya au wale wanaotaka kuoana.

Mkianza mikwaruzo mnaweza kudiscuss anything including divorce; What I disagree ni kuanza kuongelea matatizo wakati uko kwenye ndoa ya neema. Yani nimwambie hubby "tukiachana mali tunagawanaje?" from no where si ataniona chizi?
unarudi kwenye mjadala mwingine kabisa..
what is true love?????
ngumi,mateke na matusi mbele ya watoto ni true love???????/
 
Kwa mitazamo hii ya ndoa ni bora mtu awe single. Maana ndoa imegeuka uwanja wa mapambano na kila mtu anajihami in one way on another.

kuwa single hakutasaidi , ila watu wanatakiwa waelewe nini maana ya ndoa na kwa nini anaingia kwenye ndoa na umuhimu wa ndoa ni nini
 
That is where we differ. Mimi nina roho ya kitajiri sana na mali wala hazinichukulii muda hata kidogo. What if I die?
Nadhani nimerithi hii roho kwa mama yangu; hata mahakama ilipoamua kuwa mama apewe half a share ya mali walizochuma na baba mama hakuwahi kufuatilia tena huo mgawanyo.

Nakumbuka kuna mama jirani alifariki nikiwa primary; ndugu za huyo mama walikuja kumyang'anya mumewe Prado ya dada yao kwa kuwa walijua dada yao aliinunua alipokwenda kutibiwa kansa nje. It was gumzo.

roho yako ya 'kitajiri'
isiwe sababu ya kuwaletea wanao mateso
na kuwaharibia future yao,suppose umekufa ghafla na baba yao
kaoa 'shangingi la kufa mtu' lenye roho ya 'kimasikini hasa'...
get it??????
 
Kwa mjadala huu jibu hapo ni lipi kama si kuwa watu wanaingia kwenye ndoa ili wa divorce; lol.

kuwa single hakutasaidi , ila watu wanatakiwa waelewe nini maana ya ndoa na kwa nini anaingia kwenye ndoa na umuhimu wa ndoa ni nini
 
Boss Boss Boss unamix vitu hapa.

Tunaongelea kuanza kujadili mali na divorce soon after au before marriage. Sasa hayo maswala ya ngumi yanatoka wapi kwa wanandoa wapya au wale wanaotaka kuoana.

Mkianza mikwaruzo mnaweza kudiscuss anything including divorce; What I disagree ni kuanza kuongelea matatizo wakati uko kwenye ndoa ya neema. Yani nimwambie hubby "tukiachana mali tunagawanaje?" from no where si ataniona chizi?

tatizo lako Nyumba Kubwa hujibu maswali niliyokuuliza huko nyuma
nilikuuliza unaelewa maana ya PRE NUPTIAL AGREEMENT'????/
hukunijibu....sasa wapo watu wana sign hiyo PRE NUPTIAL AGRREMENT na wanadumu milele kwenye ndoa zao...
wewe unaijua hiyo?????
 
Boss be realistic; If I die there is no way I can protect my children!

Mi nshaona Prof mmoja alikufa na kuacha magorofa na watoto wake leo hii hawana mbele wala nyuma.

Aliyekufa kafa.

roho yako ya 'kitajiri'
isiwe sababu ya kuwaletea wanao mateso
na kuwaharibia future yao,suppose umekufa ghafla na baba yao
kaoa 'shangingi la kufa mtu' lenye roho ya 'kimasikini hasa'...
get it??????
 
Mimi si mwanasheria labda unifafanulie. Na si ndoa zote zinazodumu zina love inawezekana wanadumu kwa kuwa they don't expect a lot from each other ; ni business. Ulale nje sawa; uwe na kidumu sawa; uwe na kimada sawa. Kuna couple nafanya nayo kazi wanaishi open relationship na kila mtu anajua watazikana.

tatizo lako Nyumba Kubwa hujibu maswali niliyokuuliza huko nyuma
nilikuuliza unaelewa maana ya PRE NUPTIAL AGREEMENT'????/
hukunijibu....sasa wapo watu wana sign hiyo PRE NUPTIAL AGRREMENT na wanadumu milele kwenye ndoa zao...
wewe unaijua hiyo?????
 
Boss be realistic; If I die there is no way I can protect my children!

Mi nshaona Prof mmoja alikufa na kuacha magorofa na watoto wake leo hii hawana mbele wala nyuma.

Aliyekufa kafa.

Hapa hapana aisee....

Sheria zipo na ukiweka kila kitu kwa maandishi unaweza kuwa protect hao uliowaacha.

Kusema nikifa nimekufa sio suluhisho hata kidogo...........

Hapa naaza kumuelewa Nyani Ngabu
 
Boss be realistic; If I die there is no way I can protect my children!

Mi nshaona Prof mmoja alikufa na kuacha magorofa na watoto wake leo hii hawana mbele wala nyuma.

Aliyekufa kafa.

ungenijibu maswali yangu tungeelewana..
unajua maana pre nuptial agreement?
trust funds??????
wosia???????

wapo watu wanaishi kwa mali za babu,utasemaje hapo????/

huyo profesa ni hadithi nyingine,haihalalishi watu kuishi kienyeji still....
 
Back
Top Bottom