Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,298
True love is blind. But when you start calculating how you are gonna divide your property after divorce; jinsi gani mtafanya mkiachana; hapo hakuna blindness na nachelea kusema hata hiyo ndoa haija base kwenye love at first place. Yaani jamaa anapropose afu mnakaa kudiscuss divorce na mgawanyo wa mali; hiyo itakuwa ndoa ya love au business? Sishangai maana nasikia watu siku hizi wanaoana kisanii
Sheria zinapokuwa wazi hakuna haja ya kukaa na mwanamme mkaanza kudiscuss hiyo kitu.
Kama alivyokuja mmoja na kutupa mtazamo wa sheria za Kiislam kwenye hilo, tunataka na sheria za nchi ziwe wazi kwenye suala hili mapema. Iwapo jamii itaelewa kuwa mwanamke ana haki ya kuwa na mali binafsi (sawa na mwanamme), sidhani kama kutakuwa na haja ya watu kukaa na kujadiliana.