Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Wakuu kwema?
Nina mtaji wa million mbili(2m),nimekuja kwenu kama wana jamii nikihitaji mawazo bora ya ujasiliamali kwa mikoa ya Mwanza,Dodoma na Dar es salaam,mikoa hii nimeichangua nikiwa na maana ya kuwa nipo tiari kufanya biashara moja ya mikoa hiyo sasa ni kufuatana na ubora wa wazo lenyewe ndo litaamua mkoa wa kuchanguliwa kati ya hiyo.
Naamini hapa hakishindikani kitu na nina uhakika nitapata ushauri ulio bora kabisa,basi nikualike wewe uliyeko katika moja ya mikoa tajwa hapo tujumuike katika mjadala huu,karibuni na asanteni sana.
Ushimen: Ebu ngoja leo niwape mawazo machache ya kujikwamua
Pole na hongereni kwa kuwa wenye afya njema. Na kwapamoja tuwaombee wale wote ambao wakati kama huu hawana nafasi ya kusoma haya tuliopata pumzi ya bure na tukayasikia, kuona, kusoma na kuchangia. Kwakuwa Mungu wetu ni mwema, basi yote kwake ni mema pia. 1. Ungekua Dom ningekupa wazo/location...