Ushauri wa Wizara kuhusu Deni la Taifa

Ushauri wa Wizara kuhusu Deni la Taifa

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Napenda nitoe mawazo yangu kwenye mikopo ya serikali. Nitaelezea kwa mtiririko wa utekelezaji ili niwasaidie Serikali badala ya kulalamika na kupigiana madongo

  • Mikopo yote ya serikali bila kujali awamu iangaliwe kwa kujua muda wa kulipa mikopo na riba za mikopo
  • Group 1: Mikopo yote yenye riba ndogo na miaka mingi ya kulipa. Hii ndiyo mikopo mizuri. Mfano kama una mkopo wa 5% kwa miaka 20 huu ni mkopo mzuri.
  • Group 2. Mikopo ya pili ni mikopo yenye riba ndogo lakini muda mfupi. Hii nayo ni mizuri lakini muda ndiyo tatizo
  • Group 3. Mikopo yanye riba ya juu ambayo ni zaidi ya 10% lakini muda mfupi. Hapa tatizo kubwa ni riba na huu ni mkopo mbaya
  • Group 4. Mikopo yenye riba ya juu zaidi ya 10% na ya muda mrefu. Hii ndiyo mikopo mibaya kuliko yote.
Serikali fanyeni hizi

  • Mikopo Group 3 fanyeni mpango kama mnaweza kujadili malipo kwa njia ya refinance. Hii ni kama kutafuta wawekezaji/bank ambayo inaweza kulipa hili deni na kukupa muda zaidi wa kulipa na riba nafuu. Inavyotokea ni kwamba hii bank au watoa mikopo wanalipa mkopo wote na lile deni linakuwa mkopo mpya nafuu na wa muda mrefu. Kama ni mkopo wa serikali chukueni hii mikopo na mpeni Raisi aweze kuongea na hiyo serikali husika. Wizara inatakiwa kumpa Raisi kitu ambacho kimekamilika ili akaongee nao. Mfano kama ni mkopo wa serikali ya Japan raisi anaweza kuongea na waziri mkuu wa Japan lakini ni lazima kwanza wizara ifanye kazi yake na kuwa na data zote za mikopo kwbla ya kupeleka kwa Raisi. Tatizo hakuna ubunifu na watendaji wa wizara wanabaki tu na utekelezaji badala ya kuwa wabunifu
  • Mikopo Group 4. Hii mikopo yote inabili kila mmoja uangaliwe upya na kutafuta njia zote za ku refinance. Hii ni kutafuta mkopo wa nafuu wa kulipa huu mkopo mbaya halafu mkopo mpya unakuwa wa muda mrefu zaidi na riba ya chini. Kama ni mikopo ya nchi muhusisheni Raisi!
HAKUNA MKOPO MZURI KWA SERIKALI WA MIAKA MITANO
  • Nimesikitiswa sana na wale wasomi wanao jaribu kuaminisha Watanzania kwamba kuna mikopo ya bank za biashara mizuri kwa serikali. Mikopo yenyewe mingi ni ya miaka 5 na riba zinakuwa 8%~10%. Hii mikopo sio mizuri kwa serikali hasa ukizingatia uwezo wetu. Serikali kwa ushauri wangu

    1. Wasikope chini ya miaka 10
    2. Riba ya mkopo isizidi ukuaji wa uchumi mfano Tanzania ukuaji wa uchumi ni 5%~ 7% hivyo riba iwe hapo katikati . Kama mkopo ni kwa dollar isizidi 5% kwasababu mfumuko wa bei wetu unakuaga 2% zaidi ya USA

    Mwigulu acha mikopo ya riba ya juu na muda mfupi hii inaongeza payment amount za mwezi na mwaka na kusababisha pesa nyingi kwenda kwenye mikopo.

What Is a Refinance?​

A refinance, or "refi" for short, refers to the process of revising and replacing the terms of an existing credit agreement, usually as it relates to a loan or mortgage. When a business or an individual decides to refinance a credit obligation, they effectively seek to make favorable changes to their interest rate, payment schedule, and/or other terms outlined in their contract. If approved, the borrower gets a new contract that takes the place of the original agreement.

Borrowers often choose to refinance when the interest-rate environment changes substantially, causing potential savings on debt payments from a new agreement.

Mwigulu Nchemba

Niongezee hili serikali mikopo ni mizuri kama inatumika vizuri. Mikopo inatakiwa kutumika kwenye miradi ya kuongeza kipato na sio kutumika kujikimu na kulipa mishahara ya wafanyakazi. Hivyo wekezeni kwenye sehemu kuwawezesha wafanyabiashara kujenga viwanda na wakima kuongeza uzalishaji na sio kutumia pesa za mikopo kwa ruzuku au mishahara !
 
Haya ndo mawazo yenye akili na si blah blah za akina Mwigulu na maPhD ya makaratasi huku Nchi inazama!
Tukizubaa na kauli za kijinga kuwa deni ni himilivu tutajikuta kwa mwezi tunakusanya 1.5 trilioni na trilioni 1 inaenda ku- service madeni kila mwezi.
Nawahurumia sana wapenda kuajiriwa na Serikali kwani itafika mahali fedha za kuwalipa tu mishahara hakuna!
Ngoja tuone Waziri wenu wa fedha na miskafu yake ya ajabuajabu atafanya nini!
 
Serikali najua sisi tunaona mbali chukueni haya mawazo yangu na njia hizo. Nilijua deni litakuja kufika hapa
 
Napenda nitoe mawazo yangu kwenye mikopo ya serikali. Nitaelezea kwa mtiririko wa utekelezaji ili niwasaidie Serikali badala ya kulalamika na kupigiana madongo

  • Mikopo yote ya serikali bila kujali awamu iangaliwe kwa kujua muda wa kulipa mikopo na riba za mikopo
  • Group 1: Mikopo yote yenye riba ndogo na miaka mingi ya kulipa. Hii ndiyo mikopo mizuri. Mfano kama una mkopo wa 5% kwa miaka 20 huu ni mkopo mzuri.
  • Group 2. Mikopo ya pili ni mikopo yenye riba ndogo lakini muda mfupi. Hii nayo ni mizuri lakini muda ndiyo tatizo
  • Group 3. Mikopo yanye riba ya juu ambayo ni zaidi ya 10% lakini muda mfupi. Hapa tatizo kubwa ni riba na huu ni mkopo mbaya
  • Group 4. Mikopo yenye riba ya juu zaidi ya 10% na ya muda mrefu. Hii ndiyo mikopo mibaya kuliko yote.
Serikali fanyeni hizi

  • Mikopo Group 3 fanyeni mpango kama mnaweza kujadili malipo kwa njia ya refinance. Hii ni kama kutafuta wawekezaji/bank ambayo inaweza kulipa hili deni na kukupa muda zaidi wa kulipa na riba nafuu. Inavyotokea ni kwamba hii bank au watoa mikopo wanalipa mkopo wote na lile deni linakuwa mkopo mpya nafuu na wa muda mrefu. Kama ni mkopo wa serikali chukueni hii mikopo na mpeni Raisi aweze kuongea na hiyo serikali husika. Wizara inatakiwa kumpa Raisi kitu ambacho kimekamilika ili akaongee nao. Mfano kama ni mkopo wa serikali ya Japan raisi anaweza kuongea na waziri mkuu wa Japan lakini ni lazima kwanza wizara ifanye kazi yake na kuwa na data zote za mikopo kwbla ya kupeleka kwa Raisi. Tatizo hakuna ubunifu na watendaji wa wizara wanabaki tu na utekelezaji badala ya kuwa wabunifu
  • Mikopo Group 4. Hii mikopo yote inabili kila mmoja uangaliwe upya na kutafuta njia zote za ku refinance. Hii ni kutafuta mkopo wa nafuu wa kulipa huu mkopo mbaya halafu mkopo mpya unakuwa wa muda mrefu zaidi na riba ya chini. Kama ni mikopo ya nchi muhusisheni Raisi!
HAKUNA MKOPO MZURI KWA SERIKALI WA MIAKA MITANO
  • Nimesikitiswa sana na wale wasomi wanao jaribu kuaminisha Watanzania kwamba kuna mikopo ya bank za biashara mizuri kwa serikali. Mikopo yenyewe mingi ni ya miaka 5 na riba zinakuwa 8%~10%. Hii mikopo sio mizuri kwa serikali hasa ukizingatia uwezo wetu. Serikali kwa ushauri wangu

    1. Wasikope chini ya miaka 10
    2. Riba ya mkopo isizidi ukuaji wa uchumi mfano Tanzania ukuaji wa uchumi ni 5%~ 7% hivyo riba iwe hapo katikati . Kama mkopo ni kwa dollar isizidi 5% kwasababu mfumuko wa bei wetu unakuaga 2% zaidi ya USA

    Mwigulu acha mikopo ya riba ya juu na muda mfupi hii inaongeza payment amount za mwezi na mwaka na kusababisha pesa nyingi kwenda kwenye mikopo.

What Is a Refinance?​

A refinance, or "refi" for short, refers to the process of revising and replacing the terms of an existing credit agreement, usually as it relates to a loan or mortgage. When a business or an individual decides to refinance a credit obligation, they effectively seek to make favorable changes to their interest rate, payment schedule, and/or other terms outlined in their contract. If approved, the borrower gets a new contract that takes the place of the original agreement.

Borrowers often choose to refinance when the interest-rate environment changes substantially, causing potential savings on debt payments from a new agreement.

Mwigulu Nchemba

Niongezee hili serikali mikopo ni mizuri kama inatumika vizuri. Mikopo inatakiwa kutumika kwenye miradi ya kuongeza kipato na sio kutumika kujikimu na kulipa mishahara ya wafanyakazi. Hivyo wekezeni kwenye sehemu kuwawezesha wafanyabiashara kujenga viwanda na wakima kuongeza uzalishaji na sio kutumia pesa za mikopo kwa ruzuku au mishahara !
Pascal Mayalla
 
Naona school mate wangu Mwigulu anachukuwa wazo la mkopo kulipa mkopo refinance

Ndugu, hiyo inayoitwa mikipo ya riba nafuu ya muda mrefu ni mtego wa kimya kimya, tunakopa wa USD, mapato yenu kwa kiasi kikubwa ni TZS.

Imagine mkopo wa miaka 20 iliyopita wenye riba ya 5%. Wakati tunakopa dola moja ilikuwa shilingi 988, leo tunarudisha kwa dola moja 2,300. Hivyo riba hapo sio 5%.

Mama yenu na Mwigulu wake wanatuingiza shimoni na kopakopa yao.
 
Back
Top Bottom