Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Tukianza na Joti, na yale majamaa ya kwenye zekomed za Masanja, aje yule dogo anafaa dera anaigiza Juakali/not so sure ila tamthilia kule DSTV, wanaume wanavaa manguo ya kike na kuigiza kama wanawake, wapigwe marufuku kwasababu kidogo kidogo wanafanya jamii ione muonekano wa aina hiyo kwa mwanaume ni kitu cha kawaida.
Kiufupi, hawa ndio wanaoeneza ushoga bila wao kujijua na kufanya jamii izoee taswira za kishogashoga.
Kiufupi, hawa ndio wanaoeneza ushoga bila wao kujijua na kufanya jamii izoee taswira za kishogashoga.