Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
- Thread starter
- #21
hebu jaribu kuimagine, Joti na wajinga wengine, anapovaa na kujirembua kama mwanamke kwa kigezo kwamba anaigiza tu.Tumelea upuuzi sasa unatugharimu ... Tulichagua kuwekeza zaidi kwenye siasa na kusahau taaluma na weledi.. Tuliwekeza zaidi kuhakikisha chama chawala kinabakia madarakani matokeo yake ndio haya sasa!
Kwenye vichwa vya watu wengi sasaivi wakimuona mwanaume amevaa kama mwanamke hawashtuki kama tulivyokuwa tunashtuka zamani. ujinga mtupu.
Kuna kile kingine kinavaa madera dulvan sijui, akamatwe kabisa. wanasambaza ushoga na tamaduni za kishoga. na shetani amewatumia sana bila wao kujua au kutojua.